Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

Binadamu wamegeuka na kuwa namna ya ajabu sana.

Badala ya kutoa msaada wanatumia muda wote huo kupiga picha.
Watu wam
tupe walau mbinu za kusaidiana kwenye shambulio la nyuki wa kali wa kutumwa kishirikina au wa kawaida gentleman, itapendeza zaidi šŸ’
Kimbia,tafuta chimbo ujifiche,ziba uso na kichwa

Ova
 
kama huyo alieshambuliwa na hao nyuki,

kwa mfano hao jamaa waliokua wanarecord hiyo video wangemsaidiaje huyo mng'atwa na nyuki kwa mfano?

naona kama mtoa hoja kama anawafokea vile šŸ’
Msaada #1 ujipe mwenyewe alitakiwa akimbieeee huyo dada inaelekea alishapanick na nyuki uki panick basi watazidi kukumiza
Msaada wanaoweza utoa labda washuke wakamtoe pale na wamuingize kwenye gari na hapo lazima wawe na vitu vikatavyoweza wasaidia nao wasingatwe

Ova
 
jitu liko ndani na kuna mapanzia dirishani ya kutosha anashindwa kuyatumia kuokoa maisha ya huyo bionti hata kama dawa ya rungu iko mbali pigia simu duka lolote karibu waje nazo kwa msaada wa haraka
Kwa kweli wametusikitisha Wanaume wenzao wengi Kwa walichokifanya...

Yaani ule ujasiri wa kiume haupo Kwa Wanaume wengi Siku hizi

Sijui miaka 30 ijayo hali itakuwaje masikini šŸ™†
 
Nyuki,moto unaounguza mali,maji yanayozamisha mtu au watu,
Vinahitaji akili sharp sana sio hizi za kusifia iphone macho matatu na subaru.
Hayo mabwege ukute yalitoa pua yakaguswa na nyuki mmoja yakarudi ndani ya gari na kutoa simu.

Hapo gari ilikuwa inageuzwa na kupigwa resi nyingi sana moshi upatikane nyuki wanalewa na kupoteza uwezo wa kushambulia kisha mnamtoa mtu eneo la tukio japo mtakuwa mmeguswa pia.
Huyu kama alipata msaada kufika hospitali na kupewa drip ya maji atakuwa alikaa sawa.
 
Back
Top Bottom