Wanaume wa Dar Es Salaam hovyo kabisa,walishindwa hata kutoa msaada kidogo tu kwa huyo dada??
1. Hapo naona kuna magari, na hayo magari yana Fire Extinguisher, walishindwa kabisa kuchukua hicho kifaa na kwenda kuwapuliza hao nyuki??
2. Hayo magari si yana Exhaust pipe?? Walishindwa nini kurudisha gari reverse na kwenda kupiga resi zakutosha sana na hao nyuki wangekimbia,maana nyuki hawapendi moshi na moto!
3. Walishindwa kabisa hata mtu mmoja kuchukua vifaa vya safety mfano,kuvaa buti,overall na graves ngumu,na kwenda pale kuwasha moto kwa kutumia mashati,karatasi na hata godolo ili wale nyuki wakimbie? Nyuki hawapendi moto na moshi