Nini kimempata Rais Museveni, kwanini ameomba sheria ya kubana mapenzi ya jinsia moja ifanyiwe marekebisho, Mabeberu wamemchimba mkwara?

Watanzania wengi si wasomaji. Wanapenda zaidi simulizi. Hata hizo simulizi si wasikilizaji wazuri. Wanaanza kuchangia baada ya sentensi ya kwanza.
 
The problems are Blacks tends to Fake,but whites do it for real.
And that's why early before they called our continent as a black continent,it was not just because of color but was because of our reasoning capabilities,if you stand upright doing things correctly without fear you will be called dictator,your government practicing dictatorship type of leadership.If practicing lazy affair type of leadership you head African persons complaining; brothers and sisters we need to recheck if not to rethinking ourselves where we have mess/we are messing. Africa the head of a bull.
 
Kutokujua muswada ulitoka serikalini au kwa mbunge ndo umetafsiri kuwa asiyejua ni mnyama? Hiyo sababu ni dhaifu sana kuitumia kwa namna ulivyoitumia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mu7 kasalimu amri, haya wafuasi wake waungane nae kukana huo muswadaa.

Alikua ana wachota akili watu, hata yeye alijua uwezo hana kabisaa. Lol
Kuna kitu Mange aliandika wkt anatetea mashoga ila sidhan kama kuna shoga aliyeutia akilin huo mstari.
Alisema"watoto wangu wakichagua kuwa mashoga nitawasapoti ila nitawaambia maisha mliyoyachagua YATAFANYA MUISHI KWA SHIDA NA KUBAGULIWA MAISHA YENU YOTE".

Hata kama kina Noel wameachiwa lkn laiti wasingekua gay wasingefanyiwa unyama waliifanyiwa huko muhimbili.

Pia huyu museveni ni dikteta.Yuko hapo mpaka leo kwa mabavu so kumbuka keahazoea kufanya mengi sirini.Usifurahie anayoyaongea public il asikwazane na mabeberu.Jiulize kwa chuk aliyonayo dhid yenu hakuna akichokipanga cha kimya kimya?
You people mtawindwa waziwaz na sirin sbb watu wanawachukia.

Usifurahi pale mama wa kambo anapoficha fimbo yake sbb kuna wagen wakiona anakuchapa watamvagaa.Usifurahie kuna Noel kuachiwa huwez kujua wamefanywa nin huko hospital na huwez kujua plan B ya serikal ni ipi.

Na hata kama serikal za sasa Zinaogopa ogopa kuna siku atatokea rais kichaa kama Hitler asiyejal beberu wala mtetea mkapangwa pale uwanja wa taifa hlf akaamuru wote mle shaba.

Mange anaboa ila ana akili sana.
Nyie mtaishi kwa shida na hofu siku zote.Umewahi kuwaza hivi ikitokea kundi la panya road ambao wanaua na kudhuru gays tu itakuaje?Hadi serikal iwadhibit ni gays wangap watakua wamekufa au kudhurika?
 
Muswada kupelekwa bungeni kulichochewa na matamshii makali ya SULTAN MUSEVEN dhidi ya LGBTQ.

Ndipo hapo manyumbu yake aliyoyafuga Bungeni yakainuka na kutunga sheria ya kimihemko ili kumridhisha SULTAN MUSEVEN pamoja na kuwachota akili wananchi wa Uganda ili kuwazubaisha wasijadili mambo ya msingi.

SULTAN MUSEVEN katepeta kama furushi la mchicha. Amebaki kuwahadaa waganda tu kwa vijistori vya KUJIKOSHA.
 
Nadhani hujaipata habari kikamilifu. Nilisoma sehemu jana kuwa mswada unarudishwa bungeni kwa kuwa haujakaza vilivyo juu ya adhabu zitakazotolewa. Sasa sijui kama ni kweli au lugha za kisiasa tu.
 
Museveni hii kitu alikuwa anaitamani sana ila kapigwa na kitu kizito hana namna
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nilisema humu tangu kitambo... huyu SULTAN WA UGANDA hatoboi...

Anawazuga manyumbu tu.
 
Tatizo yeye kafanya kwa kiki ila mbona bongo wanafinywa miaka 30 kimya kimya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu SAMIA TUMESHAMKANYA aache kuwaonea watu wasio na hatia ili akwepeshe mijadala ya ufisadi.

Mpaka sasa ameshawafunga jela watu wanne wasio na hatia, na wengine wengi anaamuru wakamatwe na kuingiziwa madole kwenye njia za haja kubwa.

Asipokanyika, ATAKANYWA KWA HERUFI KUBWA.
 
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi unawezaje kumpa respect anonimous hapa JF? Imagine miaka yote unanipeq respect mimi sina hata wazo kama kuna kima ananipea respect huko.
Hahahhaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukiwa dependent ni vigumu kusimamia msimamo wako. Waarabu uliona kwenye kombe la dunia hawakutikisika hata kidogo kuhusu msimamo wao kwa sababu hawategemei kutembeza bakuri. Sasa unamgomea mtu ambaye kesho unapitiaha bakuri akuchangie akichimba bati unabadili msimamo.
 
Shida ya kukurupuka. Museven kasema hato sign mpaka makali yaongezwe kwenye adhabu kwa mashoga. Adhabu ya kifo
Unajidanganya, MUSEVEN KATEPETA.

Muswada ulishaweka adhabu ya kifo, ndio maana SULTAN MUSEVEN katoroka baada ya kukemewa na mabeberu.
 
Kabla haujaunda kikundi cha panyarodi, utakuwa umeshasambaratishwa.
 
Nakuhakikishia hatosain anatafuta namna ya kujinasua hapo....
Hapo anacheza na akili za wajinga
Anajaribu kupoteza muda na KUJIKOSHA KOSHA.

Tangu lini LIDIKTETA likawa na akili? DIKTETA ASIYE NA UTAMBUZI.

Bora huyu SAMIA anafanya UHARAMIA KIMYA KIMYA kwa kujificha uvunguni.

Na huyu SAMIA TUMESHAMUONYA, na akishupaza shingo TUTAMUONYA KWA HERUFI KUBWA ZENYE WINO MWEKUNDU.

AMEUNDA KIKOSI CHA WAHUNI CHA KUINGIZIA WATU MADOLE KWENYE MAPURU!

SASA ASIPOACHANA NA HUU UHUNI NA UHARAMIA, ATALAZIMISHWA KUJIHESHIMU.
 
Sasa shoga unamfunga jela ipi maana yeye ni mwanamke na hapohapo ni mwanaume, ukimfunga kwa wanawake tegemea atawatia mimba wote mle, ukimfunga kwa wanaume tegemea watamgonga hadi ashindwe kusimama. Ukitengeneza gereza la peke yao kuna mashoga w engine zinasimama watagongana usiku na mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…