Nini kimempata Rais Museveni, kwanini ameomba sheria ya kubana mapenzi ya jinsia moja ifanyiwe marekebisho, Mabeberu wamemchimba mkwara?

Kwa m7 alivyo na chuki na hawa watu lazima ana plan B ya kimya kimya.
Hana Plan B yoyote huyo dikteta ajuza. Maisha yake yamefika tamati, anasubiri kujifia taratibu.

Tulimuonya humu aache kuonea watu wasio na hatia, lakini akatumia muda wake mwingi madarakani kushindana na mashoga.

Alipaswa kuwa na chuki na umasikini, lakini badala yake ameiacha nchi kwenye dhiki na mahangaiko.

Karata ya mwisho aliyobaki nayo ilikuwa kujikosha kwenye swala la mashoga. Na huko pia mabeberu wamemfyeka.

Kilichobaki anasubiri tu kutwaliwa na mwenyezi Mungu akachomwe moto wa milele jehanamu.
 
Ona huyu babu yako Museven anavyoweweseka baada ya kushughulikowa na mabeberu.

Urais wake wenyewe uko kwenye mikono ya CIA.

Kinyago cha kuchonga! View attachment 2595883
Huyu babu yangu m7 sijawahi kumpenda sbb ni katili sana na ndo mana linapokuja suala la kudeal na mashoga sina wasiwas naeKeshawashuhulikia wengi na bado tunamtegemea ataendelea kuwashuhulikia.Sio mjinga huyu.
.Anayoyafanya sirin anayajua mwenyewe.
Huyu suala la kuchukia gays sio la kiki au la msimu miaka yote hawapendi.Gays kibao wa uganga wamekimbilia abroad.Kama wewe ni gay ukimuona m7 anakuchekea anza kulia🤣
 
Tunachofahamu ni waarabu wengi wanafurahia kuliwa nyuma!
 

Sawa
 
Hii ni vita iliyopotea.

Anajihangaisha bure. Bado kitambo kidogo atafukiwa ardhini lakini Uganda itabaki milele.

Na mashoga pia wataendelea kuwepo kwa sababu hakuna alilowafanya, na kwa sababu pia hana uwezo wa kuwafanya lolote.

Hauwezi kukiangamiza ambacho haukukitengeneza au kukiweka. Hiyo ni Kanuni ya asili.

Ndio maana tulimuonya, na tunashukuru anajua kurudisha silaha nyuma na kuogopa. Vinginevyo hata huo urais angenyang'anywa tu haraka.
 
Kosa la Mseven ni lipi!? Kawapa second chance kama wana uwezo wa kubadilika wabadilike, kama wanashindwa kubadilika sasa ndo hatua kali zichukuliwe
 
Shida ya kukurupuka. Museven kasema hato sign mpaka makali yaongezwe kwenye adhabu kwa mashoga. Adhabu ya kifo
Ana wachotaa akili nyie watu, huyo Mu7 hana ubavu wowoteee, na anajua kuwachezesha kidamali. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Papa yuko vatikani anasema mashoga ni wana wa Mungu mse7 awezi kumpinga kiongozi wake wa dini kanisa ndilo linalo ongoza dunia atakae pinga ushoga usagaji ukahaba kukiona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mu7 kasalimu amri, haya wafuasi wake waungane nae kukana huo muswadaa.

Alikua ana wachota akili watu, hata yeye alijua uwezo hana kabisaa. Lol
Papa kasema mashoga ni wana wa Mungu nani apige?
 
Kosa la Mseven ni lipi!? Kawapa second chance kama wana uwezo wa kubadilika wabadilike, kama wanashindwa kubadilika sasa ndo hatua kali zichukuliwe
Museven sio mtu wa kutoa "second chance".

Yule ni sultani aliyefeli maisha, ana ujasiri wa kufanya lolote ilimradi ajikoshe na kujipa sifa.

Sasa tulimuonya, na alionyeka. Tunashukuru anajua wakati sahihi wa kujisalimisha na kuweka silaha chini.

Angeendelea kuwashambulia watu wasio na hatia tusingesita kumdhibiti.

Kinyago cha kuchonga kile. Tena cha bei nafuu.
 
Hapa bongo wanashughulikiwa kimya kimya wanaenda kutiwa vidole huko muhimbili
 
Hapa bongo wanashughulikiwa kimya kimya wanaenda kutiwa vidole huko muhimbili
Huyu SAMIA TUMESHAMKANYA aache kuwaonea watu wasio na hatia ili akwepeshe mijadala ya ufisadi.

Mpaka sasa ameshawafunga jela watu wanne wasio na hatia, na wengine wengi anaamuru wakamatwe na kuingiziwa madole kwenye njia za haja kubwa.

Sasa asipokanyika, ATAKANYWA KWA HERUFI KUBWA.
 
Umeeleza mengi sana na umetoa kwa umakini km sio maumivu pia? Hii Dunia hatuwezi kuwa sawa kamweee, kuna kila tabakaa.

Ndo maana kuna tabia nyingi mbovu, kwahiyo wala kubaguliwa na kutengwa sio ajabu sana.

Muhimu ni hapo uliposema kusakamwa kwa sirini au wazi wazi, hii ndio tunayo pingaaa na tulipingaa hadi kina Noel wametoka huruu.

Haijalishi huko Muhimbili wamepitia udhalilishaji au mateso gani muhimu wako huruu kwa sasa, ktk maisha kuna mapito mengi mnoo,

Kikubwaaa tunachopinga ni serikali kukiukaa kanuni na taratibu, hiyo yote kufurahishaa baadhi ya kikundi cha watu. Nikukumbushee pia wanasema mla nyama za watu huwa haachi,

Leo wanasakamwa mashoga, wakishamalizwa hawa litatafutwaa kundi lingine la kusakamwaa ndipo mtakapojua nn sahiv watu wanachopigania.
 
Hatari sana ....sheria ngumu sana ....pressure kubwa sana
 
Papa kasema mashoga ni wana wa Mungu nani apige?
Kwani uongo? Waovu wote ni wana wa Mungu, wakitubu wanafika kuume kwa baba, kadri ya maandiko ktk kitabu kitakatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…