Nini kimemsibu Mulamula?

2. Je, ni ile clip iliyoaibisha nchi kwa kumuonesha mama akigonga glasi na Rais Nyusi kisha akamnywesha Rais Nyusi na kunywa mwenyewe kwa glasi ileile?
 
Hii issue sasa inahusishwa na kutumbuliwa kwa MFA Balozi Mulamula, naendelea kusisitiza Rais Samia ni simple, humble na down to earth kama nilivyo muelezea hapa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Mkuu Sexless , kwanza naungana na wewe kwenye the quest for information, we are living in a world of information Science, akiteua atoe sababu na akitumbua pia atoe sababu. Kwa vile hatujahi ku demand rais atoe sababu za kumteua fulani, siku akitumbua pia hatuna justification ya ku demand kupewa sababu!.

Nimekuleta hapa ili kukujulisha kuwa huyu Mama ni very humble and down to earth, hivyo hana tatizo kabisa na ile issue ya London bus kama nilivyo eleza hapa Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden
Hivyo issue ya MFA Balozi Mulamula sio lazima awe ni ametumbuliwa inawezekana ni amepumzishwa tuu!.

P
 
Wewe bado unategemea uteuzi tu, hukati tamaa?
 
Mambo mengine ya siri tusiyoweza yajua hapa. But God is on her side for stand with nation ethics.

Amekubali ku step down kuepuka Yale anaona kesho yeye atakuwa ndio responsible. Ndio màana husikii neno ametumbuliwa.
 
Kwenye hayo mambo Mulamula anaingiaje.? Nchi yetu ingekuwa kama USA au Russia hapo ndipo nngeona hizo ulizotaja ni sababu.

Sasa ulitegemea Mulamula azuie Samia kupanda school bus.? Au azuie kunyweshana juice.?
Hapo ni suala la lishe bora kabla ya kuzaliwa na mara tu baada ya kuzaliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…