Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣 na siku hizi watu wengi wanawachukia sana watu wenye ushomile.Alileta ushomile mambo ya nje.
Hii issue sasa inahusishwa na kutumbuliwa kwa MFA Balozi Mulamula, naendelea kusisitiza Rais Samia ni simple, humble na down to earth kama nilivyo muelezea hapa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”Wanabodi
Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na kutembea na msafara, basi wanadhani Rais akipanda basi anakuwa sio Rais au amedharauliwa!. Nini basi, watu tumewaona marais wanatembea kwa miguu na wengine wanatumia baiskeli kwenda kazini!
Natoa wito kwa sisi Wabongo
Paskali
Wanabodi,
kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!, ana a very rare charisma, which is very hard to find kwa viongozi wetu
Paskali
Mkuu Sexless , kwanza naungana na wewe kwenye the quest for information, we are living in a world of information Science, akiteua atoe sababu na akitumbua pia atoe sababu. Kwa vile hatujahi ku demand rais atoe sababu za kumteua fulani, siku akitumbua pia hatuna justification ya ku demand kupewa sababu!.Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu mambo vizuri?
1. Je, ni ile kadhia ya mama kupandishwa school bus kwenye mazishi ya malkia?
Tina haki ya kuuliza na kujua maana wanakula Kodi na tozo zetu.
Wewe bado unategemea uteuzi tu, hukati tamaa?Hii issue sasa inahusishwa na kutumbuliwa kwa MFA Balozi Mulamula, naendelea kusisitiza Rais Samia ni simple, humble na down to earth kama nilivyo muelezea hapa
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Wanabodi, Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu. Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya...www.jamiiforums.com
Mkuu Sexless , kwanza naungana na wewe kwenye the quest for information, we are living in a world of information Science, akiteua atoe sababu na akitumbua pia atoe sababu. Kwa vile hatujahi ku demand rais atoe sababu za kumteua fulani, siku akitumbua pia hatuna justification ya ku demand kupewa sababu!.
Nimekuleta hapa ili kukujulisha kuwa huyu Mama ni very humble and down to earth, hivyo hana tatizo kabisa na ile issue ya London bus kama nilivyo eleza hapa Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden
P
Kwahiyo hujui Mulamula nae ni UWT?Mambo ya nje Waziri anatakiwa awe miksa, expert wa usalama+ diplomasia.
Aliyefukuzwa hakuwa?Mambo ya nje Waziri anatakiwa awe miksa, expert wa usalama+ diplomasia.
Hahahaha mnoView attachment 2375380
Badala ya kuandaa mazingira ya Bi Mkubwa kutinga Jumba Jeupe,kaenda yeye wazee wa fitna na roho mbaya wakaona hili ni kosa kubwa la kiufundi.
Watanzania ni mabingwa wa kutunga storyView attachment 2375380
Badala ya kuandaa mazingira ya Bi Mkubwa kutinga Jumba Jeupe,kaenda yeye wazee wa fitna na roho mbaya wakaona hili ni kosa kubwa la kiufundi.
Hapana aisee hii haiwezi kuwa sababu hahah!
Hapo ni suala la lishe bora kabla ya kuzaliwa na mara tu baada ya kuzaliwa!Kwenye hayo mambo Mulamula anaingiaje.? Nchi yetu ingekuwa kama USA au Russia hapo ndipo nngeona hizo ulizotaja ni sababu.
Sasa ulitegemea Mulamula azuie Samia kupanda school bus.? Au azuie kunyweshana juice.?