Nini kimemsibu Mulamula?

Nini kimemsibu Mulamula?

2. Je, ni ile clip iliyoaibisha nchi kwa kumuonesha mama akigonga glasi na Rais Nyusi kisha akamnywesha Rais Nyusi na kunywa mwenyewe kwa glasi ileile?
 
Utachagua wewe umwamini nani
Screenshot_20221003-061348.png
Screenshot_20221003-061138.png
 
Wanabodi

Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na kutembea na msafara, basi wanadhani Rais akipanda basi anakuwa sio Rais au amedharauliwa!. Nini basi, watu tumewaona marais wanatembea kwa miguu na wengine wanatumia baiskeli kwenda kazini!

Natoa wito kwa sisi Wabongo

Paskali
Hii issue sasa inahusishwa na kutumbuliwa kwa MFA Balozi Mulamula, naendelea kusisitiza Rais Samia ni simple, humble na down to earth kama nilivyo muelezea hapa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Wanabodi,
kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!, ana a very rare charisma, which is very hard to find kwa viongozi wetu
Paskali
Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu mambo vizuri?

1. Je, ni ile kadhia ya mama kupandishwa school bus kwenye mazishi ya malkia?

Tina haki ya kuuliza na kujua maana wanakula Kodi na tozo zetu.
Mkuu Sexless , kwanza naungana na wewe kwenye the quest for information, we are living in a world of information Science, akiteua atoe sababu na akitumbua pia atoe sababu. Kwa vile hatujahi ku demand rais atoe sababu za kumteua fulani, siku akitumbua pia hatuna justification ya ku demand kupewa sababu!.

Nimekuleta hapa ili kukujulisha kuwa huyu Mama ni very humble and down to earth, hivyo hana tatizo kabisa na ile issue ya London bus kama nilivyo eleza hapa Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden
Hivyo issue ya MFA Balozi Mulamula sio lazima awe ni ametumbuliwa inawezekana ni amepumzishwa tuu!.

P
 
Hii issue sasa inahusishwa na kutumbuliwa kwa MFA Balozi Mulamula, naendelea kusisitiza Rais Samia ni simple, humble na down to earth kama nilivyo muelezea hapa

Mkuu Sexless , kwanza naungana na wewe kwenye the quest for information, we are living in a world of information Science, akiteua atoe sababu na akitumbua pia atoe sababu. Kwa vile hatujahi ku demand rais atoe sababu za kumteua fulani, siku akitumbua pia hatuna justification ya ku demand kupewa sababu!.

Nimekuleta hapa ili kukujulisha kuwa huyu Mama ni very humble and down to earth, hivyo hana tatizo kabisa na ile issue ya London bus kama nilivyo eleza hapa Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden
P
Wewe bado unategemea uteuzi tu, hukati tamaa?
 
Mambo mengine ya siri tusiyoweza yajua hapa. But God is on her side for stand with nation ethics.

Amekubali ku step down kuepuka Yale anaona kesho yeye atakuwa ndio responsible. Ndio màana husikii neno ametumbuliwa.
 
Kwenye hayo mambo Mulamula anaingiaje.? Nchi yetu ingekuwa kama USA au Russia hapo ndipo nngeona hizo ulizotaja ni sababu.

Sasa ulitegemea Mulamula azuie Samia kupanda school bus.? Au azuie kunyweshana juice.?
Hapo ni suala la lishe bora kabla ya kuzaliwa na mara tu baada ya kuzaliwa!
 
Back
Top Bottom