Nini kimemsibu Mulamula?

Mambo mengine ya siri tusiyoweza yajua hapa. But God is on her side for stand with nation ethics.

Amekubali ku step down kuepuka Yale anaona kesho yeye atakuwa ndio responsible. Ndio màana husikii neno ametumbuliwa.
Uteuzi umetenguliwa.
Hivi sio kwamba kajiuzulu?
 
Sasa kama alicheza -'betting' ya kimataifa na kushinda, shida ipo wapi?
 
Uzi wa kijinga kwa sababu una sababu za kijinga....
 
Huyo Mama amekaa huko USA muda mrefu sana na wenzetu kule hawana mambo ya kijungu jiko mishe zipo nyingi na malipo ni makubwa sana.
 
Sababu ulizozitoa zote ni sahihi na ongezea na hii, kwa nini alialikwa na Biden na kuandaliwa chakula cha dhifa ya Kitaifa white House juzi Kati yeye kama yeye badala ya VP aliyekuwepo huko au Rais?

Najaribu kuwaza tuu.
Halafu msisahau Mulamula ni msomi ambaye anaweza kurudi UN anytime akiamua. Hana njaa kabisa. Hivi vyeo watishiwe Mawaziri mamburura (wale VIJANA)!
 
Hakuwa na uwezo tangu AINGIE madarakani. Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…