Nini kimemsibu Mulamula?

Nahisi mama akuwa free katika utendaji wake maana ile wizara wapemba wamejaa ndio waliomfitinisha.

Kama rais ameadithiwa vumbi la kongo na mchuzi wa pwezi basi atakuwa bingwa wakusikiliza umbea.
 
Mulamula kilichomuondoa ni kukataa kutii maamuzi yasiyo ya manufaa kwa nchi.yule bibi toka yuko shule kama unaenda kinyume na utaratibu anakuambia bila kupepesa macho ndiyo maana hawajaendana na boss wake
 
Ukiwa na kiongozi kilaza kila siku ujue utapigwa pasi ukionekana unampita uwezo.hasa wanawake
 
Magufuli safi sana!

Huyu ndio alikuwa rais siyo hii mirenda
 
Mulamula alitumbuliwa na JPM pia, JPM akaonekana km ana mambo binafsi na huyu mama, Leo tena katumbuliwa na Sa100 itakuwa kuna kitu nyuma ya pazia
Mulamula amewahi kuteuliwa na JPM?? Sikumbuki.....
 
Kukosa Utii, kutoilinda katiba na Mshenzi sio msiri, kimsingi nadhani hapendi ukilaza kwenye baadhi ya mambo Kwa hio akawa anajikana kuonesha msimamo wake
 
Kukosa Utii, kutoilinda katiba na Mshenzi sio msiri, kimsingi nadhani hapendi ukilaza kwenye baadhi ya mambo Kwa hio akawa anajikana kuonesha msimamo wake
Mie nimesikia tafauti. Uijua kuwa mke wa mbowe na tundulissu au watoto wao au wote ni raia wa Marekani? Nasikia huyo mama ndiye alikuwa atumike kuleta sera ya uraiaacha zikiwamo na ghasia zingine za ushoga na usaliti. Pia kuna wakati alimwacha Rais au Makamu wa Rais hotelier yeye akaenda kutoa press Congress kwa rais Obama kwani madogo hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…