Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua sana; na alijua anatumbuliwa hata kabla hajatumbuliwa.Huyu jamaa hajui kuwa huyu amefanya kazi UN miaka mingi sana?
Magufuli safi sana!JPM alimtumbua kisa alimshinikiza aende kwenye kikao kimojawapo huko ugaaubuni JPM akamwambia nitaenda, muda ukakaribia Mulala akamkumbusha tena JPM kuwa tunaomba hakikisho lako Mhe. Rais kama unaenda au huendi, JPM akamjibu Mlamula kuwa nitakwambis..
Mlala kama mkuu wa protocal ikabidi amshirikishe marehe Che Nkapa, ndo Nkapa akampigia JPM kumuuliza 'Hivi we unajua una kikao nje na kwa we bado Rais mpya inabidi uende lau ujitambulishe huko kwa wenye dunia yao?'
JPM akamjibu Nkapa kwa upole kuwa nitaenda mzee wangu..
Kwa hasira JPM akamgeukia Mlamla..'we umenishtaki kwa Mkapa ili iweje? sasa SIENDI we nend wewe na huyo Mkapa wako na sitaki kufanyakazi na wewe tena na nisikuone hapo Ifisini ahahaha
Nakumbuka usiku ule Mulamula akampigia mkapa yaliyojili ..Mkapa akaogopa akasema we achana naye Mwehu huyo..ahahaha
Mulamula amewahi kuteuliwa na JPM?? Sikumbuki.....Mulamula alitumbuliwa na JPM pia, JPM akaonekana km ana mambo binafsi na huyu mama, Leo tena katumbuliwa na Sa100 itakuwa kuna kitu nyuma ya pazia
Mie nimesikia tafauti. Uijua kuwa mke wa mbowe na tundulissu au watoto wao au wote ni raia wa Marekani? Nasikia huyo mama ndiye alikuwa atumike kuleta sera ya uraiaacha zikiwamo na ghasia zingine za ushoga na usaliti. Pia kuna wakati alimwacha Rais au Makamu wa Rais hotelier yeye akaenda kutoa press Congress kwa rais Obama kwani madogo hayo?Kukosa Utii, kutoilinda katiba na Mshenzi sio msiri, kimsingi nadhani hapendi ukilaza kwenye baadhi ya mambo Kwa hio akawa anajikana kuonesha msimamo wake