FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Deni trillioni 150 sio mchezoNimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
Nuru ni nini mkuu?Amani ya moyo yatosha. Vilio, vifo na hasira za watu huwezi ukapata nuru
Anajiandaa kuelekea BurundiNimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
Mjomba.Nimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
51yrs sasa......Umri umesogea
Wewe dada number muongo 🤣🤣🤣Mtu asiumwe mafua?
Sijui umri wake lakini huo uzee wa ghafla ni uchovu, chuki na ufisadi.Kwani huyu jamaa ana umri gani, maana kwa ninavyomuona hapo inawezekana vyeti na uhalisia ni tofauti.
Watakwambia hiyo nuru haiangaliwi kwa jicha la nyama,inaangaliwa kwa jicho la tatu,mpaka uwe umempokea Bwana.Nuru ni nini mkuu?
Alibet Liverpool ashinde,magoli mengi kipindi cha kwanza,mechi itoe gg na Liverpool afunge magoli manneNimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
Mikorogo imedundaNimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
Kazi zimekuwa nyingiLabda ameachwa
Huwa wajiongelea tu , kuna nyumbu kibao wanahisi wamempokea huyo bwana ukiwaambia wathibitishe hilo wanaingia mitini tu.Watakwambia hiyo nuru haiangaliwi kwa jicha la nyama,inaangaliwa kwa jicho la tatu,mpaka uwe umempokea Bwana.