Nini kimemsibu Mwigulu? Uso wake umekosa nuru!

Kwanini mkuu?,.

Sometimes ni vichallenge tu vidogo vidogo kama homa mafuaa mtu sura inakosa nuru kiasi lakini watu wanakuza mambo😄😂
Hii kitu ya nuru sikubaliani nayo , nilikua mnene kiasi fulani nikaanza tizi na mlo kamili, kurudi nyumbani watu wakaniambia nimekosa nuru🤔 nikajiuliza kumbe nuru ni kuhifadhi manyama uzembe yasiyo na faida mwilini 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…