Ana misukule mipumbavu ya kumlipia hilo deni, na bado ataongeza,... sidhani kama hilo linamchanganya hata kidogo,....hao watu ni njugu zinawasumbua,...Deni trillioni 150 sio mchezo
Baba wa katoto kanakonenepa kwa dola zakoNdio nani huyo kwani...🤔
Uzee unabisha hodi kwa kasi, na majukumu yanamzeesha na mbaya zaid si ajabu ana pesa ila hajui azitumie vipi kuuweka mwili sawa walau asizeeke kwa kasi.Anazeeka
🤣🤣🤣Nuru ni kitu gani kwenye uso wa binadamu?
Kaflagi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na hapo Bado Kaflagi hajaandika kitabu kuanzia 2020 kwenda mbele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]