RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Siwezi kununua Toyota au Nissan kwa hela hio.Hahaha najua ndio lile DVA mkali sema safi. 5.6L ni for Fatcats
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kununua Toyota au Nissan kwa hela hio.Hahaha najua ndio lile DVA mkali sema safi. 5.6L ni for Fatcats
Nissan ninayoweza kununua kwa pesa mingi ni GT-R tu.Siwezi kununua Toyota au Nissan kwa hela hio.
Wakurugenzi wanalifaidi Nissan Y62 Raha Sana huwazi mafuta, maintenance Wala derevaHizo zitabaki Kwa wateule wachache Tu.
Chevrolet Ina power ndogo?Sipendi migari yenye umbo kubwa ila power ndogo.
Halafu sipendi pickups.
Mbona ni gari nzuri nzuri tu lakini. zimetengenezwa vyemaSiwezi kununua Toyota au Nissan kwa hela hio.
Ni nzuri sana basi tu mimi si mpenzi wa magari hayo.Mbona ni gari nzuri nzuri tu lakini. zimetengenezwa vyema
Ahaa we unafikir gari gani ingekupendeza kwa hela hioNi nzuri sana basi mimi si mpenzi wa magari hayo.
Duh umewaza mbali.Wakurugenzi wanalifaidi Nissan Y62 Raha Sana huwazi mafuta, maintenance Wala dereva
X5 level hio, VW Touareg level hio....RR Autobiography ingependeza zaidi.Ahaa we unafikir gari gani ingekupendeza kwa hela hio
Nissan y60 a.k.a chura, naikubalibsana...gari imetulia balaaNimekuwa mfuatiliaji mzuri wa magari ya Toyota na Nissan kwa hapa Tanzania. Ambayo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa kuteka soko la magari kwa nchi yetu kwa kiasi kikubwa. Kama kichwa kinavyojieleza toleo la Nissan y62 lina muda sasa lakini sioni watu wakiyakimbilia kama ilivyo tokea kwa matoleo ya Nissan Y61 na Y60. Uzi tayari
NISSAN Y60
View attachment 1667836
NISSAN Y61
View attachment 1667837
NISSAN Y62
View attachment 1667838
Tafuta pesa mjombaNissan y60 a.k.a chura, naikubalibsana...gari imetulia balaa
Nimekwambia sina?T
Tafuta pesa mjomba
Yapo machache serikaliniIla inaonekana ni mazuri sema gharama ni maintenance tu. Serikali haijataka kujihusisha na hili toleo baada ya Y61
Unataka nunu lenye engine ya diesel .Wamezingua sana, ila itabidi waje na Diesel engine mashine za kazi.
Labda anataka sababu ya economy(consumption) na torque ya maana mkuu.Unataka nunu lenye engine ya diesel .
Lile gari ane nunua kaishatoka kwenye fikra za bei yq mafutaLabda anataka sababu ya economy(consumption) na torque ya maana mkuu.
Bado hata watasha wako makini na mpg mzee baba,lkn pia hapo kwny diesel wanataka torque ya kutosha maana wengine wanazitumia kuvutia boti zao,trailers etcLile gari ane nunua kaishatoka kwenye fikra za bei yq mafuta