Nini kimepelekea gari za nissan Y62 isifanye vizuri kama nissani y61 na y60

Nini kimepelekea gari za nissan Y62 isifanye vizuri kama nissani y61 na y60

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa magari ya Toyota na Nissan kwa hapa Tanzania. Ambayo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa kuteka soko la magari kwa nchi yetu kwa kiasi kikubwa. Kama kichwa kinavyojieleza toleo la Nissan y62 lina muda sasa lakini sioni watu wakiyakimbilia kama ilivyo tokea kwa matoleo ya Nissan Y61 na Y60. Uzi tayari

NISSAN Y60
View attachment 1667836

NISSAN Y61
View attachment 1667837

NISSAN Y62
View attachment 1667838
Nissan y60 a.k.a chura, naikubalibsana...gari imetulia balaa
 
Y62 ni gari nzuri, tatizo ni mifuko na uchumi wetu. Kikwete, Lowassa, Nyalandu pia Big Ben ndio ulikuwa usafiri wake. Kikubwa ni uwezo wa mfuko kumiliki hiyo gari.
 
Back
Top Bottom