SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam
Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam.
Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi.
Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana Kardinali Pengo ameshaondolewa jimboni ni mimi tu ndiyo sina taarifa?
Je, kuna mjadala wowote humu JF kuhusu kuondolewa Pengo labda umenipita?
Wana JF naomba ufafanuzi maana mantiki sijaielewa.
Website hii hapa:
Archdiocese of Dar-es-Salaam – Roman Catholic
Kwa maenendo huu ilikua lazima unyimwe upadriKweli Pengo Muadhama Kardinali alikuwa mtu mmoja mkabila na mkanda japo alininyima kuwa Padri lakini siwezi kumjadili kama ulivyo mjadili hivi. Ka weye ni mkatoliki mwenzangu, lazima una lako jambo sio bure. Samehe
Swali la nini wakati unajua wazi Mwadhama Ruwaichi alishateuliwa? Kwani aliacha Mwanza kuja Dar kufanya nini kama si kuchukua nafasi ya Pengo? Na wewe bila shaka unajua afya ya Mwadhama Pengo nayo haiko vizuri saàana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Gabriel mmole alikuwa na miaka 76.7 hivyo umri wa kustaafu ulikuwa umezidi maana ni miaka 75Baadhi ya majina ya maaskofu wastaafu
Askofu Emmanuel Mapunda-Mbinga
Askofu Gabriel Mmore-Mtwara
Askofu Jacob Koda-Same
Hao wachache nlioweza kuwapata kwa haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Za uso[emoji23][emoji23]Wewe ni muislamu wakristo hawanaga neno hikma bali ni hekima
Absolutely Yes. Nimetoa sababu kwa nini. Ila utume wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ulikuwa wa kutukuka licha ya changamoto zake za hii miaka ya karibuni.
Kwa mfano neno 'Kusali' na 'kuswali' siyo kwamba ni maneno yenye maana moja lakini yakitumika kwa dini tofauti?Hikma Na Hekima Ni tofauti ya lugha sio ya Imani
Hakuna Imani yenye lugha yake Maalum
Ndugu ilishatangazwa Pengo atapumzika na Rwaichi atachukuwa mahali pake, ila kuna baadhi ya mambo yanafanyika niyandani na yakiutawala/uongozi ambayo hayatangazwi. Yanafanyika kiutawala zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu ilishatangazwa Pengo atapumzika na Rwaichi atachukuwa mahali pake, ila kuna baadhi ya mambo yanafanyika niyandani na yakiutawala/uongozi ambayo hayatangazwi. Yanafanyika kiutawala zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la nini wakati unajua wazi Mwadhama Ruwaichi alishateuliwa? Kwani aliacha Mwanza kuja Dar kufanya nini kama si kuchukua nafasi ya Pengo? Na wewe bila shaka unajua afya ya Mwadhama Pengo nayo haiko vizuri saàana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia Pengo alimtusi Papa kwenye simu, tena kwa kushirikiana na Jiwe.
Amekwambia ana chuki naye? Amesema tabia za kishenz za PengoKweli Pengo Muadhama Kardinali alikuwa mtu mmoja mkabila na mkanda japo alininyima kuwa Padri lakini siwezi kumjadili kama ulivyo mjadili hivi. Ka weye ni mkatoliki mwenzangu, lazima una lako jambo sio bure. Samehe
Nina dukuduku hapa. Kwa nini aondolewe kwenye website wakati bado ni askofu mkuu wa jimbo?Maana ukiangalia website ya jimbo picha ni za askofu Ruwaichi tu na hata pale anapoonekana Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ni katika kumwonyesha siku ya mapokezi ya Ruwaichi ilivyokuwa.
Je kesho kanuni ya misa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hatatajwa?
Je ukiwa mwandamizi husimikwi tena? Maana siku ile askofu mkuu ruwaichi aliwafanyiwa misa ya mapokezi tu ila hakusimikwa maana hakukalia Kiti cha jimbo yaani CATHEDRA.
REJEA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU FRIDOLIN AMBONGO OFM cap jimbo la Kinshasa baada ya kustaafu Mwadhama Mwonsengo Pasinya (78) miezi takribani mitatu au minne iliyopita.
Pengo = mpigadebe wa com
PENGO = KADA MTIIFU WA CCM
Pengo = hakuheshimu waumini wala utume wake
Pengo.....mnafiki
Pengo mtu makini na hna unafiki wowote, shida yako atakuwa hujawahi kumsifia mbowe au Lissu na hiyo ndo inafanya wewe uwe mnafiki namba moja. Unaweka uchama kama ndo haki ya kuzaliwa hivi na wewe kama mkatoliki basi utakuwa wale fuata mkumbo. Watu kama pengo sio tu magenius bali pia ni makini sana ndo mana kuwaelewa watu wenye akili finyu na iliyokwisha kuharibiwa na ** MAJIBU MBELE**
Sent using Jamii Forums mobile app