Nini kimesababisha mabadiliko haya? Mabinti wadogo wanapenda watu wazima

Sawa
 
Usitujaze ushamvulia. Anakuhudumia kila wakati alafu useme papchi hajala were!!!
 
Kama hujampa penzi na pesa yake unakula jiandae kwa majuto makubwa yasiuosahaulika maishani mwako.
Hapo ndo wasichana mnafeli,Kama humtaki fanya juu chini usipokee chochote kutoka kwake kwani Ni laana kubwa na malipo yake utatafuta waganga na waganga usipate uponyaji mtu anayima baadhi ya haki kwa familia yake analeta kwako kwa Moto mweupe humpi anachotaka unakula tu pesa yake.Subiri malipo yake.yeye Wala hatakufanya chochote" karma".
Ukitaka hayo yasikupate fanya moja kati ya mawili haya.
1.mpe Anachotaka
2.rudisha huduma zake zote alizokupa.
 
Your days are numbered kubabek hataliwa kwa mpalange adi kenye pua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Hao watoto wadogo mnakutana nao wapi? Kaazi kweli kweli.
 
Jela inakuita bro.

#YNWA
 
Usigeuze kibao ukweli ubaki kuwa ukweli , Watu wazima ndio hupenda vibinti vidogo
 
..ni hela Tu wanataka...maana vijana wa rika Lao hawana pesa wala ajira....Ila hawa mabinti siku hizi nawaogopa sana....mana wanatoa Kila kitu Hadi nyuma...na wanasambaza sana korona...maana wao hawaugui korona na hawajijui Kama wanayo..Sasa ukutane nae...akunyonye denda...akupe mbele na nyuma...hukosi covid..hili Bado watu hawajashtukia..
 
Mabadiliko ya kiuchumi,umasikini kwa vijana wa pesa uliosababisha umaskini wa akili kwani hata sisi vijana wakiume tunapenda mijimama siku hizi.
 
Mim na uzee wng najtahd xn kwnd n hii kas y hw mabint undr 20 kwkwl naon watantoa roh. Ila naon nmexha improv kwa ss hawanip shda.
Andika vizuri wewe! Hivi hizi herufi x badala ya s mnazitoa kwenye mitaala gani nyinyi? Sio kila kitu ni cha kuiga ndugu zangu. Yaan umeandika matapishi halafu unasema eti na uzee wako. Kwa hiyo watoto wako wanaandikaje.
 
Wanasema wanatolewa vizazi kwa elfu 20 ya nauli.
Raundi 5 halafu anaenda jisifia kwenye uzi wa kula kimasihara huku yeye kizazi kikiwa na nyufa.
 
Shida ni kwamba watu wooote wanapata. Binti akitaka mbaba, ANAPATA, Akitaka kijana mwenzake ANAPATA, akitaka mzee ANAPATA. Vijana wa kiume hali ni vivyo hivyo.. WANAPATA. Kijana akitaka kijana mwenzake ANAPATA, akitaka jimama, ANAPATA. Ndio maana siku hizi heshima hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…