Nini kimesababisha mabadiliko haya? Mabinti wadogo wanapenda watu wazima

Nini kimesababisha mabadiliko haya? Mabinti wadogo wanapenda watu wazima

Kwa hiyo above 25 bado mimi mdogo?.kwanza title imesema MABINTI WADOGO sijui umeelewa afu mimi sijashangazwa na ke wa umri wangu kwa hao wa umri ni wakubwa sana above 25 si binti tena kwa hiyo hata wakipenda vizee ruksa .mimi nashangazwa vitoto vya sekondari kuwa na tabia hizo ,sijui umenielewa
Sawa
 
Vijana kubembeleza hamjui kuhudumia hamjui, kuna kaka mmoja jamani yani akinipigia simu napata raha sana yani anaelewa mahitaji ya mwanamke, tukikutana kama nywele zimeanza kufumuka unashangaa anachomoa hamsini na kuendelea nenda kasuke, ukipigiwa simu uko wapi town unafanya nini nanunua nguo akija nguo zote analipia, yani akija home anabeba mchele nyama unga yani kasoro mkaa alafu akianza kuondoka anaacha hamsini sitini mezani, hivi ni kwa sababu ana hela sana au ni moyo wake tu mana ni mtu mzito kidogo pale wizara ya mpunga

Mi nafikiri siyo kwamba anahela sana ila anajuwa mahitaji ya mwanamke
Imagine ananitongoza toka mwaka jana ila nimemkataa coz ana familia na bado anafanya haya yote, siku nikimvulia nguo si itakuwa zaidi

By the way namshukuru sana huyu kakangu laiti angekuwa hana mke huyu ningemuogesha na kumbeba na kumuheshimu sana mana ANAONDOA STRESS ANATIBU B. P NA MAGONJWA MENGINE YA SONONO
Usitujaze ushamvulia. Anakuhudumia kila wakati alafu useme papchi hajala were!!!
 
Vijana kubembeleza hamjui kuhudumia hamjui, kuna kaka mmoja jamani yani akinipigia simu napata raha sana yani anaelewa mahitaji ya mwanamke, tukikutana kama nywele zimeanza kufumuka unashangaa anachomoa hamsini na kuendelea nenda kasuke, ukipigiwa simu uko wapi town unafanya nini nanunua nguo akija nguo zote analipia, yani akija home anabeba mchele nyama unga yani kasoro mkaa alafu akianza kuondoka anaacha hamsini sitini mezani, hivi ni kwa sababu ana hela sana au ni moyo wake tu mana ni mtu mzito kidogo pale wizara ya mpunga

Mi nafikiri siyo kwamba anahela sana ila anajuwa mahitaji ya mwanamke
Imagine ananitongoza toka mwaka jana ila nimemkataa coz ana familia na bado anafanya haya yote, siku nikimvulia nguo si itakuwa zaidi

By the way namshukuru sana huyu kakangu laiti angekuwa hana mke huyu ningemuogesha na kumbeba na kumuheshimu sana mana ANAONDOA jianSTRESS ANATIBU B. P NA MAGONJWA MENGINE YA SONONO
Kama hujampa penzi na pesa yake unakula jiandae kwa majuto makubwa yasiuosahaulika maishani mwako.
Hapo ndo wasichana mnafeli,Kama humtaki fanya juu chini usipokee chochote kutoka kwake kwani Ni laana kubwa na malipo yake utatafuta waganga na waganga usipate uponyaji mtu anayima baadhi ya haki kwa familia yake analeta kwako kwa Moto mweupe humpi anachotaka unakula tu pesa yake.Subiri malipo yake.yeye Wala hatakufanya chochote" karma".
Ukitaka hayo yasikupate fanya moja kati ya mawili haya.
1.mpe Anachotaka
2.rudisha huduma zake zote alizokupa.
 
Vijana kubembeleza hamjui kuhudumia hamjui, kuna kaka mmoja jamani yani akinipigia simu napata raha sana yani anaelewa mahitaji ya mwanamke, tukikutana kama nywele zimeanza kufumuka unashangaa anachomoa hamsini na kuendelea nenda kasuke, ukipigiwa simu uko wapi town unafanya nini nanunua nguo akija nguo zote analipia, yani akija home anabeba mchele nyama unga yani kasoro mkaa alafu akianza kuondoka anaacha hamsini sitini mezani, hivi ni kwa sababu ana hela sana au ni moyo wake tu mana ni mtu mzito kidogo pale wizara ya mpunga

Mi nafikiri siyo kwamba anahela sana ila anajuwa mahitaji ya mwanamke
Imagine ananitongoza toka mwaka jana ila nimemkataa coz ana familia na bado anafanya haya yote, siku nikimvulia nguo si itakuwa zaidi

By the way namshukuru sana huyu kakangu laiti angekuwa hana mke huyu ningemuogesha na kumbeba na kumuheshimu sana mana ANAONDOA STRESS ANATIBU B. P NA MAGONJWA MENGINE YA SONONO
Your days are numbered kubabek hataliwa kwa mpalange adi kenye pua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Hao watoto wadogo mnakutana nao wapi? Kaazi kweli kweli.
 
Jela inakuita bro.

#YNWA
Mimi nikazani ilo jambo linanitokea peke angu .kwanza Mimi umri wangu upo kwenye range ya 25 kwenda juu lakini unakuta nashobokewa hadi na watoto sekondari yani sielewi binafsi naviona vidogo lakini wenyewe ndo shobo zimezidi yani mpaka unaona kabisa naelekea kugombana na wazazi wao maana nahisi wananihisi vibaya
 
Usigeuze kibao ukweli ubaki kuwa ukweli , Watu wazima ndio hupenda vibinti vidogo
 
..ni hela Tu wanataka...maana vijana wa rika Lao hawana pesa wala ajira....Ila hawa mabinti siku hizi nawaogopa sana....mana wanatoa Kila kitu Hadi nyuma...na wanasambaza sana korona...maana wao hawaugui korona na hawajijui Kama wanayo..Sasa ukutane nae...akunyonye denda...akupe mbele na nyuma...hukosi covid..hili Bado watu hawajashtukia..
 
Mabadiliko ya kiuchumi,umasikini kwa vijana wa pesa uliosababisha umaskini wa akili kwani hata sisi vijana wakiume tunapenda mijimama siku hizi.
 
Mim na uzee wng najtahd xn kwnd n hii kas y hw mabint undr 20 kwkwl naon watantoa roh. Ila naon nmexha improv kwa ss hawanip shda.
Andika vizuri wewe! Hivi hizi herufi x badala ya s mnazitoa kwenye mitaala gani nyinyi? Sio kila kitu ni cha kuiga ndugu zangu. Yaan umeandika matapishi halafu unasema eti na uzee wako. Kwa hiyo watoto wako wanaandikaje.
 
Wanasema wanatolewa vizazi kwa elfu 20 ya nauli.
Raundi 5 halafu anaenda jisifia kwenye uzi wa kula kimasihara huku yeye kizazi kikiwa na nyufa.
 
Shida ni kwamba watu wooote wanapata. Binti akitaka mbaba, ANAPATA, Akitaka kijana mwenzake ANAPATA, akitaka mzee ANAPATA. Vijana wa kiume hali ni vivyo hivyo.. WANAPATA. Kijana akitaka kijana mwenzake ANAPATA, akitaka jimama, ANAPATA. Ndio maana siku hizi heshima hakuna.
 
Back
Top Bottom