Nini kimetokea hadi vijana maarufu wa CCM akina January, Nape, Kigwangalla, Makonda, Gambo nk kuzimika ghafla?

Nini kimetokea hadi vijana maarufu wa CCM akina January, Nape, Kigwangalla, Makonda, Gambo nk kuzimika ghafla?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.

Nini kimewatuliza?

Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza wamezimika pia.

Mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine.

Mungu wabariki vijana wa Afrika akina Bobi Wine na Jaffo

Maendeleo hayana vyama!
 
Hivi akina January, Kigwangalla, Nape na Jaffo ni vijana?
 
Nape,January na Makonda walidhani wao ni untouchable kwa kuwa nyakati fulani wamemsaidia mtawala.Wanaweza wakaibuka tena lakini sidhani awamu hii kama watapewa kipaumbele.

Kigwangala ameponzwa na tabia ya kupenda mapambano hata pale alipoonywa na mkubwa wake aliendeleza likembe.
Gambo yule ni invisible atapaa tena.
 
Nape,January na Makonda walidhani wao ni untouchable kwa kuwa nyakati fulani wamemsaidia mtawala.
Kigwangala ameponzwa na tabia ya kupenda mapambano hata pale alipoonywa na mkubwa wake aliendeleza likembe.
Gambo yule ni invisible atapaa tena.
Nimekuelewa bwashee.

Nyota ya Daktari Mwigullu Nchemba bado inang'aa!
 
Wao tu kila siku, acha nawengine wale keki maana ni yetu sote
 
Back
Top Bottom