West london
Senior Member
- Jun 24, 2019
- 131
- 321
Jana walikuja adi bar ya maskani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah hii sasa ishakuwa fedheha.Jana walikuja adi bar ya maskani.
Sio kwamba wasanii wangechangamsha mwamko?Sanaa na wasanii ni vikwazo.
Hii nayo inauma sanaUnampigia mtu kura anashinda, unatoa malalamiko yako kuhusu kodi kandamizi anakwambia hamia Burundi.
Wanaojiandikisha ni wazee tu, na nchi hii hakuna wazee nyomi. Safari hii tumewasidia msihangaike kuiba kura, goli liko wazi.Kumbe hupo field mimi nipo naandikisha yaani watu kama leo imekua shida maana watu nyomi aisee
Wasijiandikishe tu, ikibidi wakaishi kabisa na familia zao kwenye hivyo vituo vya kura hadi siku ya uchaguzi ili wapige kura vizuri kwenye hizo chaguzi za kikhanithi.Wapi huko,huku nilipo mimi mtaa mzima wenye sifa wameshajiandikisha
UongooSABABU KUU NI HUYU View attachment 3125029
Kweli kabisa, tuliona wazi uchaguzi ukinajisiwa, eti wanasema Magufuli anakubalika. Hata wakati wa Magufuli kulikuwa na wapiga kura wachache sana. Na sababu hasa ni ccm kumuachia mtu asiyejua siasa, akalazimisha kuwapa ccm kura za kihuni ili ionekane ccm inakubalika, sijui ni imara chini yake.Ule ushenzi aliofanya Magufuli 2019/2920 ndiyo umewavunja moyo watu wanaona kumbe sanduku la kura siyo linalotoa mshindi bali matakwa ya mtawala.
Ndio huyo dhalimu amesababisha hii watu kususia huo upuuzi uitwao uchaguzi.Uongoo
Upige kura usipige kura lazma ashinde.Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza adhima yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka.
Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka msemo unaitwa Kichinjio. Yaani kadi ya mpiga kura ambapo mwenye nayo anaamua kumkatilia mbali Diwani, Mbunge au Rais anayeonekana hafai kwenye uongozi.
Wananchi walijivunia sana Viparata vyao is it" vichinjio" Ilikuwa hakuna kusukumana kwenda kujiandikisha.
Ghafla bini vuu wananchi wamesusa. Yaani imefika mahala hata ukiwapa rushwa hawaendi Ng'oo
Tutafakari kama taifa nini kimetokea? Je, uzalendo utatoka wapi ikiwa wananchi wanakwama kushiriki mambo ya kitaifa mepesi kama haya?
Je, tunaweza kufikia level ya uzalendo wa Wananchi wa Israel, Irani, Lebanoni au China?
Alieshiba hamkumbuki mwenye njaaUnampigia mtu kura anashinda, unatoa malalamiko yako kuhusu kodi kandamizi anakwambia hamia Burundi.
vizuriWasijiandikishe tu, ikibidi wakaishi kabisa na familia zao kwenye hivyo vituo vya kura hadi siku ya uchaguzi ili wapige kura vizuri kwenye hizo chaguzi za kikhanithi.
Wale tu, ila wasisumbue watu kuwaandikisha😁 wakati sensa ya CCM ilishapitaga. Watumie yale majina ya sensa ya CCM.Mkisusa wao wanakula hawajali
Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza adhima yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka.
Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka msemo unaitwa Kichinjio. Yaani kadi ya mpiga kura ambapo mwenye nayo anaamua kumkatilia mbali Diwani, Mbunge au Rais anayeonekana hafai kwenye uongozi.
Wananchi walijivunia sana Viparata vyao is it" vichinjio" Ilikuwa hakuna kusukumana kwenda kujiandikisha.
Ghafla bini vuu wananchi wamesusa. Yaani imefika mahala hata ukiwapa rushwa hawaendi Ng'oo
Tutafakari kama taifa nini kimetokea? Je, uzalendo utatoka wapi ikiwa wananchi wanakwama kushiriki mambo ya kitaifa mepesi kama haya?
Je, tunaweza kufikia level ya uzalendo wa Wananchi wa Israel, Irani, Lebanoni au China?
Yale maneno ya Nape kule Kagera yamewatia baridi Wananchi labda !Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza adhima yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka.