The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Moja ya dhana hatari sana kwa Uchumi na biashara ni hiyo ya ujamaa..Wakulaumiwa wa kwanza ni aliyeleta sera ya utaifishaji na Ujamaa uchwara.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Mzee wa Mawambala cargoRodrick mahenge wa iringa alikuwa analima ngano ambayo mavuno yake serikali ilikuwa inashindwa kuyanunua
Hakuna sera tofauti na Ubepari pure au Ubepari wa kijamii kama vile vyama vya ushirika nk..Hivi ni sera ipi nzuri ili kulifikisha taifa katika maendeleo makubwa ya kiuchumi na kijamii.?
#MaendeleoHayanaChama
Kiwanda cha UHURU ubungoViwanda vilivyokufa baada ya Tanganyika kupata uhuru
1. Kiwanda cha matairi general tyre cha Arusha
2. Kiwanda cha viberiti Moshi/kilimanjaro
3. Kiwanda cha tambi za majiko na vibatari dar es salaam
4. Viwanda vya pamba mwanza,singida na shinyanga
Na vingine vingi sana
Katika haya wafuatao ni wakulaumiwa vikali
1. Mwinyi
2. Mkapa
3. Msoga
Ukiongea uwe na uhakika, mimi kwetu ni dar ila iringa nilikuwa nimeenda kimasomo.Wewe kwenu wapi Dar.
Unaijuwa Unga Limited Arusha, au unaisikia tu? Unafikiri ilikuwa inanunua inasaga unga wa bwimbwi?Dar pale gerezani kuna wahindi hakuna zao ambalo walikuwa hawanunui na kulisaga. Uko wapi wewe? Ushaona unga wa ngano wa serikali? Hiyo 90 unayoongea wewe hata NMC ya serikali ilikuwa imeshakufa.
Msitake kudanganya watu kijinga, hii ni JF mkadanganyane jobless corner zenu huko.
kila siku naona post za kumsifia bashe kukiwa na soko watu watalima tu.Hapa ndipo tunafeli,tutengeneze utaratibu wa kupata soko la nje hasa Egypt na Sudan ndio tuwekeze kwenye kilimo..
Ishu kubwa hapo ni soko maana mziki wa ngao sio wa kitoto
Kwa styre hii ya uongozi wa Tanzania .. ...tuombe mungu tu.Viberiti - kenya, india
Matairi - kenya, Germany
Nguo - ulaya, Asia
Cha kushangaza kila kitu tajwa hapo juu kilikua kinatengenezwa hapa hapa nchini
Unabisha nini na unakubali nini, hivi unafahamu nmc ilikuwa ina ghala kubwa iringa mjini, hiyo nmc iliyokuwa tazara ilikuwa inanunua mazao dar.Ngano zamani sana ilikuwa inanunuliwa sehemu mbili, Unga Limited Arusha na serikalii NMC pale oppossite na TAZARA ambapo kwa sasa ni Bakhresa. Hizo zilikufa hata Nyerere hajang'atuka.
Mimi sio mwenyeji wa hayo maeneo nimezoea kupita hiyo njia na kupewa habari ya mashamba ya ngano na shahiri.Asante kwa kunijuza Basuto ni sehemu ya Wilaya ya Hanang'Basuto ni sehemu/eneo ndani ya Wilaya ya Hanang. Usichanganye mambo.
Au dadiii na busaaa zimekolea???
Sent using Jamii Forums mobile app
Nabisha mengi sana, kuwa NMC bado ilikuwepo 1990. Nabisha kuwa Serikali ilishindwa kuinunua ngano.Unabisha nini na unakubali nini, hivi unafahamu nmc ilikuwa ina ghala kubwa iringa mjini, hiyo nmc iliyokuwa tazara ilikuwa inanunua mazao dar.
Wakati mwingine punguza ujuaji.
Wewe NMC ilikuwa kwisha, miguu juu. Labda yalibaki majnego na yale ma silo yao pale Iringa, mpaka mwaka juzi nimeenda yalikuwepo.Ukiongea uwe na uhakika, mimi kwetu ni dar ila iringa nilikuwa nimeenda kimasomo.
Nmc ilikuwa haijafa kipindi hicho na walikuwa na ghala kubwa iringa mjini. Ulizia wenyeji wa iringa waliokuwepo kipindi hicho.
Unamjua marehemu boymanda? Yeye alikuwa analima ngano njombe.
Mimi ni mtoka bara Afika.
Kwa ujumla huwezi ukai-define tabia ya mtu mweusi. Lakini ni mtu asiyejali. Maisha yake ni patapotea.
Akipata ajira, ndiyo inakuwa shida kabisa.
Lile neno "Mali ya umma" ndiyo inakuwa "point of reference" kwake.
Hata kiti anachokalia kikiharibika kidogo tu, basi atakisukuma pembeni asubiri ofisini itengeneze.
Kwa kweli inasikitisha. Uwajibikaji ni ziro.
Wazungu wanatujua vizuri sana. Na, bila kupepesa macho, wanatuchukulia kama tulivyo. They know us, and thus deal with us accordingly but cautiously!!
Sawa.Mimi sio mwenyeji wa hayo maeneo nimezoea kupita hiyo njia na kupewa habari ya mashamba ya ngano na shahiri.Asante kwa kunijuza Basuto ni sehemu ya Wilaya ya Hanang'
Mimi naongelea kitu nachofahamu wewe unabisha ili mradi uonekane unajuaNabisha mengi sana, kuwa NMC bado ilikuwepo 1990. Nabisha kuwa Serikali ilishindwa kuinunua ngano.
Huyo alilima ngano ya kutengenezea Pombe, siyo ya chapati.
Unasema nmc ilifirisika ambacho ni chombo cha serikali lakini unapinga serikali ilishindwa kununua ngano hivi unajielewa.Wewe NMC ilikuwa kwisha, miguu juu. Labda yalibaki majnego na yale ma silo yao pale Iringa, mpaka mwaka juzi nimeenda yalikuwepo.
Uanfikiri kufa kwa NMC ni kama binadam atakwenda kuzikwa? Kufa ndiko huko, kuwa kaput hakuna kinachoendelea. Mliacha lini kuyaibia na kuyafilisi masirika ya umma?