Nini kimetokea mpaka marais watatu wenye asili ya Ukristo wakafa ?

Nini kimetokea mpaka marais watatu wenye asili ya Ukristo wakafa ?

1. Julius k. Nyerere (mkristo) 1922-1999

2.Ali hassan Mwinyi (Muislamu) 1925-2024

3.Benjamin W . Mkapa (Mkristo)1938-2020

4.Jakaya Mrisho kikwete ( Muislamu) 1950 - present

5.John Pombe Magufuli (Mkristo) 1959-2021

6.Samia Suluhu hassan (Muislamu) 1960-present


Kila kiumbe duniani kina muda wake wa kuishi na hatimae hufa
Sasa uyo Ali hassan Mwinyi mbona Waislamu hawajalalamika kama kafa

Wewe babu yako yupo hai mpaka leo?
 
Hahahahaaha, dah aisee nyie watu sio bure kuna mahala mnashida mbona mna utotoutoto sana.

ndani ya Hodeidah Yemen
 
😂😂😂😂😂😄
Asante Mungu kwa kunipa ubongo unaofanya kazi.
 
Nini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
Hii ni kudra ya Mungu,kwani si marais waislamu 2 pia wamefariki? ali hassan mwinyi na abeid amaan karume? anayepanga kifo ni Mola
 
Jambo lenye uhakika zaidi kwa maisha yetu, ni lile la kufa, maana kuishi ni majaliwa na Neema ya Mungu
 
Labda bwana Rosti Tamu atakuwa anajua....
 
Umri.

Labda JPM ndio alikuwa mdogo. Ila wengine walikuwa wazee.

Miaka 77, 80+, 90+ unauliza kwa nini wamekufa?

Huyo Kikwete mwenyewe bado sana hapo.
Kama hatafanyiwa mizengwe mbele anayo kama 15 hivi
 
Mzee Mwinyi alikuwa ni muislam , na Rais aliyebaki hai ambaye hayuko madarakani ni mmoja tu Mh Jakaya. Sioni kama kuna hoja ya msingi hapa. Halafu fanya utafiti watu wa pwani wanaishi muda mrefu sana kuliko watu wa Bara. Angalia mzee wa pwani anaweza kuwa mtaani anapambana kuuza hata kahawa lakini mchukue mzee wa bara mwenye umri sawa na huyo wa pwani, wa Bara utakuta tayari kazeeka anahudumiwa na watoto. Huo ni mtazamo wangu.

You miss the point boss.

Mwinyi kaishi miaka mingi kwasababu hakua na interest za Siasa baada ya Kustaafu.

Nyerere, Mkapa, Wameondoka mapema kwq sababu wali amua kuendelea ku influence siasa za Tanzania hata baada ya kustaafu.

Hata Mr slimes ataondoka kabla ya Muda wake tu, Kwa sababu ni kawaida kwa CCM kuondoana kutokana na interest za uongozi
 
Hii hoja yako haina mashiko. Na usitutoe kwenye reli. Adui mkubwa kwenye hii nchi ni CCM na genge lake la wahuni! Na siyo Waislam au Wakristo.
JF na mbavu zangu mie...Nakuona umechafukwa mno.
 
Mzee Mwinyi alikuwa ni muislam , na Rais aliyebaki hai ambaye hayuko madarakani ni mmoja tu Mh Jakaya. Sioni kama kuna hoja ya msingi hapa. Halafu fanya utafiti watu wa pwani wanaishi muda mrefu sana kuliko watu wa Bara. Angalia mzee wa pwani anaweza kuwa mtaani anapambana kuuza hata kahawa lakini mchukue mzee wa bara mwenye umri sawa na huyo wa pwani, wa Bara utakuta tayari kazeeka anahudumiwa na watoto. Huo ni mtazamo wangu.
Mbona hapo Kilimanjaro mara kwa mara mzee akizikwa unasikia histori yake 100+ yrs? Na wengine wengi bado wanadunda.
 
Nini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
duh ndugu hili nalo swali kweli wakati unaelewa kabisa yanayoendelea kwenye hii nchi
Duh
Hebu tuache adui wa nchi anajulikana
 
Hoja ya kijinga , hapa kwa style hii ccm itaendelea kujipigia inavyotaka
Halafu watu wanamuita jasusi. Ana leta hoja za kijinga sana. Na hapa ndio hata hoja za msingi hukosa mashiko kupitia hivi vioja.
 
Nini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
Mkimaliza udini, mtaamia kwenye makabila.
DHAMBI YA UBAGUZI😬
 
Nini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI
 
Back
Top Bottom