Nini kimetokea mpaka marais watatu wenye asili ya Ukristo wakafa ?

Nini kimetokea mpaka marais watatu wenye asili ya Ukristo wakafa ?

Ulitaka wawe hai milele wewe Jasusi wa mchongo ?
Vitu vingine vnastaajabisha kwa watanzania, hata mgonjwa angelazwa hsptl mwak mzima bdo siku yake ikifika na Mungu akaamua kuchukua kiumbe chake na sababu za kifo ziko wazi lkn bdo hawatakubali watakuambia Kuna mkono wa mtu
 
Mzee Mwinyi alikuwa ni muislam , na Rais aliyebaki hai ambaye hayuko madarakani ni mmoja tu Mh Jakaya. Sioni kama kuna hoja ya msingi hapa. Halafu fanya utafiti watu wa pwani wanaishi muda mrefu sana kuliko watu wa Bara. Angalia mzee wa pwani anaweza kuwa mtaani anapambana kuuza hata kahawa lakini mchukue mzee wa bara mwenye umri sawa na huyo wa pwani, wa Bara utakuta tayari kazeeka anahudumiwa na watoto. Huo ni mtazamo wangu.
Sio kweli kuna code
 
Back
Top Bottom