Kinachowaua ni magonjwaNini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
Hii ni kudra ya Mungu,kwani si marais waislamu 2 pia wamefariki? ali hassan mwinyi na abeid amaan karume? anayepanga kifo ni MolaNini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
Wewe ulishiriki kumuua Ben SaananeNini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
Mzee Mwinyi alikuwa ni muislam , na Rais aliyebaki hai ambaye hayuko madarakani ni mmoja tu Mh Jakaya. Sioni kama kuna hoja ya msingi hapa. Halafu fanya utafiti watu wa pwani wanaishi muda mrefu sana kuliko watu wa Bara. Angalia mzee wa pwani anaweza kuwa mtaani anapambana kuuza hata kahawa lakini mchukue mzee wa bara mwenye umri sawa na huyo wa pwani, wa Bara utakuta tayari kazeeka anahudumiwa na watoto. Huo ni mtazamo wangu.
Wewe ulishiriki kumuua Ben Saanane
JF na mbavu zangu mie...Nakuona umechafukwa mno.Hii hoja yako haina mashiko. Na usitutoe kwenye reli. Adui mkubwa kwenye hii nchi ni CCM na genge lake la wahuni! Na siyo Waislam au Wakristo.
Mbona hapo Kilimanjaro mara kwa mara mzee akizikwa unasikia histori yake 100+ yrs? Na wengine wengi bado wanadunda.Mzee Mwinyi alikuwa ni muislam , na Rais aliyebaki hai ambaye hayuko madarakani ni mmoja tu Mh Jakaya. Sioni kama kuna hoja ya msingi hapa. Halafu fanya utafiti watu wa pwani wanaishi muda mrefu sana kuliko watu wa Bara. Angalia mzee wa pwani anaweza kuwa mtaani anapambana kuuza hata kahawa lakini mchukue mzee wa bara mwenye umri sawa na huyo wa pwani, wa Bara utakuta tayari kazeeka anahudumiwa na watoto. Huo ni mtazamo wangu.
duh ndugu hili nalo swali kweli wakati unaelewa kabisa yanayoendelea kwenye hii nchiNini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
Halafu watu wanamuita jasusi. Ana leta hoja za kijinga sana. Na hapa ndio hata hoja za msingi hukosa mashiko kupitia hivi vioja.Hoja ya kijinga , hapa kwa style hii ccm itaendelea kujipigia inavyotaka
Mkimaliza udini, mtaamia kwenye makabila.Nini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZINini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?