Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

Nilishavuka huko, kipindi naacha kazi serikalini nilifikia ngazi ya ukurugenzi wa idara pale MFA, nikaja huku kwenye international organizations. Siishi maisha ya kupangiwa tena nini cha kufanya. Najipangia mwenyewe na nimejiajiri.
Upo kwenye international org, unajipangia, umejiajiri = umejichanganya
 
Upo kwenye international org, unajipangia, umejiajiri = umejichanganya
Huna akili ya ku comprehend mambo ungekaa kimya.... nimeandika niliacha kazi serikalini nikaja huku kwenye international organizations.... wapi nimesema bado nafanya? Unajua ni lini? Bila aibu unajibu kitu usichokielewa!

Pathetic fool!!
 
Prof. Kahyarara tunamjua sana kuanzia UDSM, NSSF na hata mitaani.

Kwanza Uprofesa wake ni fake. Alipewa Uprofesa kinamna, na hata baadhi ya washiriki waliandika barua za kupinga yeye kupewa Uprofesa.

Nyenzo yake kuu ya kusoma ni kukariri na ku-reproduce kwenye mitihani. uwezo wake wa uchambuzi ni mdogo sana. Ila kung’ng’ania mambo na kudai kuwa yeye ni wa viwango vya juu humshindi.

Yeye hudai kuwa ni mtu wa system na kuwa yuko well-connected. Mambo mengi anayafanya bisivyo na kudai kuwa hayo ni maagizo kutoka juu, kitu ambacho ni uongo mtupu. Alipofika tu aliandika barua ya kuikabidhi Serikali Daraja la Kigamboni kwa maamuzi yake bila hata Bodi. Hii ilikuwa kichekesho.

Pale NSSF inasemekana alivuruga mambo mengi na hivyo kui-derail NSSF ambayo hadi sasa inasemekana haijatengamaa. Msualanya rushwa na totos kwake ni mambo ya kawaida sana. Nashangaa mtu anasema kuwa anatoka familia ya wacha Mungu. Inawezekana kwa wazazi wake, lakini siyo yeye.

Baada ya kupigwa chini na JPM, sisi tunaomjua vizuri tulijua Serikali imerudi to its sense. Kuja kuona kateuliwa Permanent Secretary tulishangaa sana, na tulijua hakuna kinachoendelea pale.

Huyo ni hasara kwa Taifa.
Nilikua wa mwanzo ku comment humu wakaja watu wa ngonjera za nina wivu... watanzania wengi ni wajinga sana, hutoa comments kwa vitu wasivyovijua....
Nina watu wanne walikua board members wa NSSF ninaujua uchafu wa huyo bwana nikiuandika hapa utajaa kurasa tatu. Ni mtu wa hovyo sana.
 
Huyu Prof nimepata PF yake kwa mdogo mmoja yupo Viwanda na biashara HQ anasema Jana watu walipiga monde Sana baada ya kutolewa Wizarani pale ameeleza kuwa jamaa kwanza ni Mhaya ujuaji mwingi, shobo,chuki, anabania watu kupata fursa za kimasomo, safari in short all opportunities na alishakalia kuti kavu kitambo Sasa naona mfumo ume m demote akatulie Geita, wakuu Kuna watu changamoto Sana utafikiri wao wameumbwa kuwa juu na hawatambui kuwa inawapasa kuwa viongozi na siyo watawala,
 
Hawa ni Maprofesa wa makaratasi tu ! Duniani hawajui kitu! Huyu Profesa uchwara so ndo alituambia Samia ktk kipindi kifupi ameingizia TAIFA Dola (USD) bilioni sijui mia ngapi!
Profesa wa Uchumi hajua hata maana ya Dola(USD) bilioni 1.Huyo hata angepelekwa kuwa Katibu Tarafa angekubali tu!
Hatari sana
 
Huyu Prof nimepata PF yake kwa mdogo mmoja yupo Viwanda na biashara HQ anasema Jana watu walipiga monde Sana baada ya kutolewa Wizarani pale ameeleza kuwa jamaa kwanza ni Mhaya ujuaji mwingi, shobo,chuki, anabania watu kupata fursa za kimasomo, safari in short all opportunities na alishakalia kuti kavu kitambo Sasa naona mfumo ume m demote akatulie Geita, wakuu Kuna watu changamoto Sana utafikiri wao wameumbwa kuwa juu na hawatambui kuwa inawapasa kuwa viongozi na siyo watawala,
Hapo ndo mamlaka zinapokosea ina maana watumishi wa geita ndo wanastahili mizoga?
 
Kazi iendelee!

Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.

Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.

Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.

View attachment 2306732
Tapeli
 
Kuna level ukiipita katika maisha kuna vitu utaona vya kawaida sana. Na kuna level ukiwa katika maisha kuna vitu kwako unaweza kuviona ni ndoto. Kuna mtu anaiona iphone 13 pro max kwake ni ndoto na kuna mtu naona ni kitu cha kawaida.

Kuna watu huko wanaona ukuu wa mkoa ambao mtu hauzidi 5M ni ndoto na kuna wanaoona hiyo ni hela mbuzi maana kwakujiajiri anaingiza zaidi ya hiyo kwa mwezi.

Hawa chawa wa UVCCM ambao hawajawahi ingia kwenye service scheme yoyote kwao laki moja tu huwafanya wakatane mitama maana ni ndoto kwao na kwa vile chama chao ni cha kijamaa hudumaza akili na kipato chao ili kiendelee kuwatumia kwa kuwaangushia tende na finyango za nyama.

Hajui kuna watu wanakataa u MD wenye package hadi 30M hapa nchini achilia mbali hivyo vyeo uchwara vya u DC na U RC ambavyo hao chawa wa CCM ni ndoto lwao.
Hakika mkuu. Ukipata nafasi kwenye "other side" huwezi Tena kukimbilia teuzi.
Kuna waajiriwa flani napiga nao Consultancy jobs. Unakuta kazi moja ya miezi 2 tu anakunja 8-figure profit.
Humu tunakutana kila mtu yupo na uelewa tofauti, exposure tofauti n.k
 
Hapo ndo mamlaka zinapokosea ina maana watumishi wa geita ndo wanastahili mizoga?
Nchi ni kama inaongozwa na masela kabisa..huwezi kuwa una-recycle watu walioshindwa hapo mwanzo halafu unawaleta tena, serikali gani makini inafanya hivyo? wengine wakitolewa serikalini hawana kazi nyingine za kufanya? au wao kazi pekee wanaweza kufanya zipo serikalini? Nadhani mamlaka za uteuzi zina shida kubwa..ndio maana lazima sasa katiba mpya ije, haya mambo ya kisela yafikie ukomo..kabla mtu hajateuliwa apitie mahojiano na athibitishe kitu maalum kinachofanya ateuliwe.
 
Nilishavuka huko, kipindi naacha kazi serikalini nilifikia ngazi ya ukurugenzi wa idara pale MFA, nikaja huku kwenye international organizations. Siishi maisha ya kupangiwa tena nini cha kufanya. Najipangia mwenyewe na nimejiajiri.
Safi kiongozi,ni watu wachache hasa wasomi kujiamini hivyo na kuwa ktk mtizamo kama wako.
 
Nchi hii siku ikiacha kuabudu vyeti vya shule pekee na kuangalia ufanisi sidhani kama tutatoka hapo tulipo kwenda hatua nyingine. Kuna shida kubwa sana ya elimu zetu na bahati mbaya tunapeana nafasi sababu ya vyeti bila kuangalia na mambo mengine ya utendaji kazi. Angalia wafanya biashara wa kubwa sio wasomi na hata viongozi bora kutokea pia sio wasomi. Nchi hii tumefika hapa sababu ya hawa hawa wasomi ni wakati utendaji na ufanisi iwe kigezo bila kudharau elimu tufanye mix ya vyote.
Tupe mifano ya hao viongozi bora na wafanyabiashara. Au usomi ni kuwa prof ama udaktari? Au tafsiri yako ya wasomi ni watu wa namna gani?
 
Back
Top Bottom