Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

King Leon 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2019
Posts
245
Reaction score
342
Screenshot 2024-08-13 100934.png
Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni?

Soma Pia:
𝗟𝗜𝗢𝗡𝗘𝗟 𝗖𝗛𝗥𝗜𝗦𝗧𝗜𝗔𝗡 𝗔𝗧𝗘𝗕𝗔 🇨🇲

Douala FC | Cameroon 🇨🇲

◉ 06 - Six months
◉ 16 - Games.
◉ 06 - Goals scored.
◉ 02 - Assist.

USM Alger | Algeria 🇩🇿

◉ 06 - Six months.
◉ 16 - Games.
◉ 01 - Goal scored.
◉ 03 - Assists.

ℹ️ Lionel Ateba katika mashindano yote akiwa USM Alger amecheza mechi (24), amefunga magoli (3) na Assists (7).

🎮 16 ⚽ 1 🎯 3 - Ligi kuu 🇩🇿
🎮 04 ⚽ 2 🎯 2 - FA cup 🇩🇿
🎮 04 ⚽ 0 🎯 2 - CAF Confederations cup.

Key 🔑
_____________
🎮 - Games
⚽ - Goals scored.
🎯 - Assist
 
Nadhani wamechelewa kusajili hicho kinachopatikana ndiyo hicho hicho mwalimu yupo atamuongezea mbinu pia wachezaji waliopo wana umri mdogo, japokuwa yanga sc wamethibitisha kwamba umri siyo kigezo cha kushinda ama nguvu, kumbe hata wazee wanawaweza kuwakalisha wajukuu, (that is what it means to have professional players)
 
Nadhani wamechelewa kusajili hicho kinachopatikana ndiyo hicho hicho mwalimu yupo atamuongezea mbinu pia wachezaji waliopo wana umri mdogo, japokuwa yanga sc wamethibitisha kwamba umri siyo kigezo cha kushinda ama nguvu, kumbe hata wazee wanawaweza kuwakalisha wajukuu
Kutokana na takwimu zake na muda uliopo unahisi ataclick kweli klabuni au wanacheza bahati nasibu tu ? Kiukweli sikuona haja ya kumbakisha Freddy
 
Kwamba mukwala hatoshi kwamba tatizo ni namba 9, au mwalimu kawaambia anataka namba 9 mwingine ili achezeshe double strikers?kama ni maelezo ya mwalimu tena achezeshe double strikers maana ahoua anakosa sifa kadha za kuwa playmaker, hapo sawa, vinginevyo hapa kwetu msimbazi viongozi wapimwe mkojo sasa.
 
Back
Top Bottom