Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

Mashabiki wa Simba msiwape pressure viongozi wenu ligi bado haijaanza!
Hii sio presha ila ni mdahalo na tunadiliana kwa kutoa maoni pia, Na ni haki kila mtu kutoa mchango wa aina yyt ile kuinusuru klabu na soka kwa ujumla.
 
Mkuu ayo ni mapendekezo au umetoa sababu?? Nafikiri cha kufanyika ni ushirikiano tu na maoni ya mashabaki na wanachama yaheshimiwe na kufanyiwa kazi ipasavyo pia kuweka team sahihi ya scout na kuachana na wachezaji wa kuletewa toka kwa mawakala
Umesoma bila kunielewa kuna mdau alianzisha uzi humu tukatoa mapendekezo nikiipata huyo thread naituma hapa
 
Naelekeza mwasibu akiambatana na Mkaguzi wa hesabu za ndani wafike Ofisi za Simba Sports kwa ukaguzi wa kina wa bil 7+
 
Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni?

Soma Pia:
𝗟𝗜𝗢𝗡𝗘𝗟 𝗖𝗛𝗥𝗜𝗦𝗧𝗜𝗔𝗡 𝗔𝗧𝗘𝗕𝗔 🇨🇲

Douala FC | Cameroon 🇨🇲

◉ 06 - Six months
◉ 16 - Games.
◉ 06 - Goals scored.
◉ 02 - Assist.

USM Alger | Algeria 🇩🇿

◉ 06 - Six months.
◉ 16 - Games.
◉ 01 - Goal scored.
◉ 03 - Assists.

ℹ️ Lionel Ateba katika mashindano yote akiwa USM Alger amecheza mechi (24), amefunga magoli (3) na Assists (7).

🎮 16 ⚽ 1 🎯 3 - Ligi kuu 🇩🇿
🎮 04 ⚽ 2 🎯 2 - FA cup 🇩🇿
🎮 04 ⚽ 0 🎯 2 - CAF Confederations cup.

Key 🔑
_____________
🎮 - Games
⚽ - Goals scored.
🎯 - Assist
Matatizo makubwa / makuu ya Simba SC kwa sasa ni kama yafuatayo....

1. 10% kwa Viongozi Wapigaji
2. Upumbavu wa Uongozi uliopo
3. Uwendawazimu na Ushamba wa Sisi Mashabiki wake / wao
4. Usaliti kutokana na kuwa na Virusi wengi Klabuni
5. Timu kuendeshwa Kienyeji / Kiuswahili zaidi
6. Idara mbovu ya Mawasiliano ( Msemaji wa hovyo ) japo Majuha wanamsifia
7. Morali ya Wachezaji kuwa chini huku kukiwa hakuna Mtaalam wa Saikolojia

Nimemaliza.
 
Labda makolo wamepumbazwa na ilo jina la Lionel
 
Matatizo makubwa / makuu ya Simba SC kwa sasa ni kama yafuatayo....

1. 10% kwa Viongozi Wapigaji
2. Upumbavu wa Uongozi uliopo
3. Uwendawazimu na Ushamba wa Sisi Mashabiki wake / wao
4. Usaliti kutokana na kuwa na Virusi wengi Klabuni
5. Timu kuendeshwa Kienyeji / Kiuswahili zaidi
6. Idara mbovu ya Mawasiliano ( Msemaji wa hovyo ) japo Majuha wanamsifia
7. Morali ya Wachezaji kuwa chini huku kukiwa hakuna Mtaalam wa Saikolojia

Nimemaliza.
Sababu ya 3 ndiyo ya msingi inaweza kutatua sababu zote ulizozitaja na zitakazo kuja, (it is like dealing with silent society), huwezi fanya biashara kwenye jamii iliyo nyamaza yaani jamii mfu,(yes bwana)
 
Matatizo makubwa / makuu ya Simba SC kwa sasa ni kama yafuatayo....

1. 10% kwa Viongozi Wapigaji
2. Upumbavu wa Uongozi uliopo
3. Uwendawazimu na Ushamba wa Sisi Mashabiki wake / wao
4. Usaliti kutokana na kuwa na Virusi wengi Klabuni
5. Timu kuendeshwa Kienyeji / Kiuswahili zaidi
6. Idara mbovu ya Mawasiliano ( Msemaji wa hovyo ) japo Majuha wanamsifia
7. Morali ya Wachezaji kuwa chini huku kukiwa hakuna Mtaalam wa Saikolojia

Nimemaliza.
Mzee Genta umeandika kama mwanachama mwenye uchungu na ujuaye wapi pana vuja,,🙌Tunaanzia wapi kusolve ayo matatizo kuinusuru klabu yako pendwa ??
 
Ebu mtueleze vizuri hapa; nani anampiga nani kwenye usajili? Pesa anatoa MO. Usajili anasajili MO. Nani anampiga nani?

Wenye ufahamu watakuja kueleza zaidi , Ila kwa uelewa na kujua kwangu inakuwa ivi, Mfano Kocha anamwambia Tajiri anahitaji striker , Tajiri anampa kazi watu wake either mascout au mafias au wajanja(kama kina Try again,Hanspope,Hersi Said n.k) kutokana na wao wanahitaji 10% wanatafuta mchezaji kisha wanampanga Agent kuwa mchezaji wako ni usd 50k ila weka usd 200k sisi tutamaliza kila kiti iyo ya juu yetu pia mshahara ni 7m ila weka 15m iyo juu itakatwa na sisi kisha wanampelekea tajiri kumshawishi uyu striker anajua na thamani yake ni usd 200k+ mshahara tshs15m basi Tajiri anatoa pesa tu na mshahara unalipwa. Na apo ndio upigaji upo maana uyo mchezaji atafeli na ndio huwa Furaha na fursa yao ya kupiga tena , Nahakika umeelewa apo
 
Na pia MO hafanyi usajiri kama wengi ufikiria ,tajiri anajulia wapi wachezaji aache biashara zake ,,ila anatoa pesa tu kwa watu wake na kisha utendeka kama nilivyoeleza apo juu
 
Back
Top Bottom