Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

Kwa kinachoendelea kwenye social media naona kabisa kocha wa simba XMass itamkuta kwao.
 
Mzee Genta umeandika kama mwanachama mwenye uchungu na ujuaye wapi pana vuja,,🙌Tunaanzia wapi kusolve ayo matatizo kuinusuru klabu yako pendwa ??
Kama tu Kutwa naandika hapa na Kushauri ila hawanisikii acha tu Jahazi liendelee Kuzama mpaka Akili zitukae sawa.
 
Na pia MO hafanyi usajiri kama wengi ufikiria ,tajiri anajulia wapi wachezaji aache biashara zake ,,ila anatoa pesa tu kwa watu wake na kisha utendeka kama nilivyoeleza apo juu
Ahahahahaha! Lakred aliposainia mkataba mpya Dubai nyumbani kwa MO nani alisimamia usajili?
 
Wenye ufahamu watakuja kueleza zaidi , Ila kwa uelewa na kujua kwangu inakuwa ivi, Mfano Kocha anamwambia Tajiri anahitaji striker , Tajiri anampa kazi watu wake either mascout au mafias au wajanja(kama kina Try again,Hanspope,Hersi Said n.k) kutokana na wao wanahitaji 10% wanatafuta mchezaji kisha wanampanga Agent kuwa mchezaji wako ni usd 50k ila weka usd 200k sisi tutamaliza kila kiti iyo ya juu yetu pia mshahara ni 7m ila weka 15m iyo juu itakatwa na sisi kisha wanampelekea tajiri kumshawishi uyu striker anajua na thamani yake ni usd 200k+ mshahara tshs15m basi Tajiri anatoa pesa tu na mshahara unalipwa. Na apo ndio upigaji upo maana uyo mchezaji atafeli na ndio huwa Furaha na fursa yao ya kupiga tena , Nahakika umeelewa apo
That's utopia!
 
Binafsi mm naona tatizo la Simba hii iliyocheza mechi tatu tukazishuhudia ni kwenye viungo wa ushambuliaji- Mukwala mikimbio yake inaonekana ni mchezaji mzuri tatizo anakosa huduma, yule Ahua na wenzie, bado hawajafanya Kazi kwa usahihi- kwa maoni yangu ni bora tuongeze kiungo wa ushambuliaji-ili mipira ufike kwa urahisi kwa washambuliaji
 
Kwamba mukwala hatoshi kwamba tatizo ni namba 9, au mwalimu kawaambia anataka namba 9 mwingine ili achezeshe double strikers?kama ni maelezo ya mwalimu tena achezeshe double strikers maana ahoua anakosa sifa kadha za kuwa playmaker, hapo sawa, vinginevyo hapa kwetu msimbazi viongozi wapimwe mkojo sasa.
Viongozi wa Simba sc wakiendelea kwenda na biti la mashabiki wanaoendeshwa na Ubora na mafanikio ya Yanga mapema sana katikati ya ligi tutakua tumetoka nje ya mbio za ubingwa
 
true say ahoua siyo playmaker
 
Viongozi wa Simba sc wakiendelea kwenda na biti la mashabiki wanaoendeshwa na Ubora na mafanikio ya Yanga mapema sana katikati ya ligi tutakua tumetoka nje ya mbio za ubingwa
Dalili zimeanza kuchomoza mapema kabla ya ligi kuanza
 
Binafsi mm naona tatizo la Simba hii iliyocheza mechi tatu tukazishuhudia ni kwenye viungo wa ushambuliaji- Mukwala mikimbio yake inaonekana ni mchezaji mzuri tatizo anakosa huduma, yule Ahua na wenzie, bado hawajafanya Kazi kwa usahihi- kwa maoni yangu ni bora tuongeze kiungo wa ushambuliaji-ili mipira ufike kwa urahisi kwa washambuliaji
Uko sahihi
 
Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni?

Soma Pia:
𝗟𝗜𝗢𝗡𝗘𝗟 𝗖𝗛𝗥𝗜𝗦𝗧𝗜𝗔𝗡 𝗔𝗧𝗘𝗕𝗔 🇨🇲

Douala FC | Cameroon 🇨🇲

◉ 06 - Six months
◉ 16 - Games.
◉ 06 - Goals scored.
◉ 02 - Assist.

USM Alger | Algeria 🇩🇿

◉ 06 - Six months.
◉ 16 - Games.
◉ 01 - Goal scored.
◉ 03 - Assists.

ℹ️ Lionel Ateba katika mashindano yote akiwa USM Alger amecheza mechi (24), amefunga magoli (3) na Assists (7).

🎮 16 ⚽ 1 🎯 3 - Ligi kuu 🇩🇿
🎮 04 ⚽ 2 🎯 2 - FA cup 🇩🇿
🎮 04 ⚽ 0 🎯 2 - CAF Confederations cup.

Key 🔑
_____________
🎮 - Games
⚽ - Goals scored.
🎯 - Assist
Blunder
 
Kilichosababisha ni papara na mawenge ya mo labda Kwa sababu ni dakika za jioni sana apo wataachana na ayubu tu mda umeshaisha Wa kutafuta wachezaji hasa Wa kigeni
 
Kilichosababisha ni papara na mawenge ya mo labda Kwa sababu ni dakika za jioni sana apo wataachana na ayubu tu mda umeshaisha Wa kutafuta wachezaji hasa Wa kigeni
Inasemekana Mo kapewa tu maoni na kamati maana yeye alishamaliza kutoa pesa za usajiri ivo sio pendekezo lake bali benchi la ufundi
 
Back
Top Bottom