Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

Kwa kinachoendelea kwenye social media naona kabisa kocha wa simba XMass itamkuta kwao.
 
Mzee Genta umeandika kama mwanachama mwenye uchungu na ujuaye wapi pana vuja,,๐Ÿ™ŒTunaanzia wapi kusolve ayo matatizo kuinusuru klabu yako pendwa ??
Kama tu Kutwa naandika hapa na Kushauri ila hawanisikii acha tu Jahazi liendelee Kuzama mpaka Akili zitukae sawa.
 
Na pia MO hafanyi usajiri kama wengi ufikiria ,tajiri anajulia wapi wachezaji aache biashara zake ,,ila anatoa pesa tu kwa watu wake na kisha utendeka kama nilivyoeleza apo juu
Ahahahahaha! Lakred aliposainia mkataba mpya Dubai nyumbani kwa MO nani alisimamia usajili?
 
That's utopia!
 
Binafsi mm naona tatizo la Simba hii iliyocheza mechi tatu tukazishuhudia ni kwenye viungo wa ushambuliaji- Mukwala mikimbio yake inaonekana ni mchezaji mzuri tatizo anakosa huduma, yule Ahua na wenzie, bado hawajafanya Kazi kwa usahihi- kwa maoni yangu ni bora tuongeze kiungo wa ushambuliaji-ili mipira ufike kwa urahisi kwa washambuliaji
 
Viongozi wa Simba sc wakiendelea kwenda na biti la mashabiki wanaoendeshwa na Ubora na mafanikio ya Yanga mapema sana katikati ya ligi tutakua tumetoka nje ya mbio za ubingwa
 
true say ahoua siyo playmaker
 
Viongozi wa Simba sc wakiendelea kwenda na biti la mashabiki wanaoendeshwa na Ubora na mafanikio ya Yanga mapema sana katikati ya ligi tutakua tumetoka nje ya mbio za ubingwa
Dalili zimeanza kuchomoza mapema kabla ya ligi kuanza
 
Uko sahihi
 
Blunder
 
Kilichosababisha ni papara na mawenge ya mo labda Kwa sababu ni dakika za jioni sana apo wataachana na ayubu tu mda umeshaisha Wa kutafuta wachezaji hasa Wa kigeni
 
Kilichosababisha ni papara na mawenge ya mo labda Kwa sababu ni dakika za jioni sana apo wataachana na ayubu tu mda umeshaisha Wa kutafuta wachezaji hasa Wa kigeni
Inasemekana Mo kapewa tu maoni na kamati maana yeye alishamaliza kutoa pesa za usajiri ivo sio pendekezo lake bali benchi la ufundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ