Nini kimewapumbaza Watanzania hadi wakaamini kwamba Rais Samia atasikiliza maoni, ushauri na malalamiko yao!?

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,910
Reaction score
4,711
Katika kipindi hiki cha utawala wa Samia, ushauri kwake umekuwa mwingi mno na matarajio kwa wananchi yamekuwa makubwa sana. Wengi wamekuwa wakiamini atabadilika: mara “Mama rekebisha hili,” mara “Mama sikiliza hili,” mara “Usiwategemee washauri wako wanakupotosha,” mara “Mama, jichunguze vizuri, wanakupotosha,” mara “Mama wewe ni msikivu, jaribu kukaa na kutafakari,” na mara “Fanya maamuzi yatakayokujengea heshima kwa vizazi vijavyo.”

Lakini swali ni, nini kinachowafanya wananchi wapumbazwe na kuamini kwamba Rais Samia atawasikiliza?

Nini kinawapa dhana kwamba Rais Samia ana tofauti na marais waliopita, kwamba yeye atasikiliza? Isije ikawa tunaishi kwa matumaini ambayo hayajawahi kuwepo tangu mwanzo.
 
Alikwisha waambia kuwa yeye ni chura kiziwi hasikii la mtu!! Inashangaza kwanini anautafuta Urais kwa ubani na uvumba ili hali hapendwi na wananchi wengi!! Kwa matusi anayotukanwa angekuwa na akili asingechukua form!!
 
Serikali sio mama Samia pekee Kuna mihimili tofauti. Njia ya wananchi kupitisha maoni au mapendekezo yao ni kupitia wabunge wao ambapo yatajadiliwa na wizara husika na kufanyiwa kazi kama pendekezo linastahili.
Hii longo longo ya mitaani ni kupotezana dira na muda
 
Katika kipindi hiki cha utawala wa Samia, ushauri kwake umekuwa mwingi mno na matarajio kwa wananchi yamekuwa makubwa sana. Wengi wamekuwa wakiamini atabadilika: mara “Mama rekebisha hili,” mara “Mama sikiliza hili,” mara “Usiwategemee washauri wako wanakupotosha,” mara “Mama, jichunguze vizuri, wanakupotosha,” mara “Mama wewe ni msikivu, jaribu kukaa na kutafakari,” na mara “Fanya maamuzi yatakayokujengea heshima kwa vizazi vijavyo.”

Lakini swali ni, nini kinachowafanya wananchi wapumbazwe na kuamini kwamba Rais Samia atawasikiliza?

Nini kinawapa dhana kwamba Rais Samia ana tofauti na marais waliopita, kwamba yeye atasikiliza? Isije ikawa tunaishi kwa matumaini ambayo hayajawahi kuwepo tangu mwanzo.
Kiasili wanawake ni wasikivu na wanyenyekevu sana! Wenye kujali na waliojawa na huruma
 
Serikali sio mama Samia pekee Kuna mihimili tofauti. Njia ya wananchi kupitisha maoni au mapendekezo yao ni kupitia wabunge wao ambapo yatajadiliwa na wizara husika na kufanyiwa kazi kama pendekezo linastahili.
Hii longo longo ya mitaani ni kupotezana dira na muda

Duh!
 
Katika kipindi hiki cha utawala wa Samia, ushauri kwake umekuwa mwingi mno na matarajio kwa wananchi yamekuwa makubwa sana. Wengi wamekuwa wakiamini atabadilika: mara “Mama rekebisha hili,” mara “Mama sikiliza hili,” mara “Usiwategemee washauri wako wanakupotosha,” mara “Mama, jichunguze vizuri, wanakupotosha,” mara “Mama wewe ni msikivu, jaribu kukaa na kutafakari,” na mara “Fanya maamuzi yatakayokujengea heshima kwa vizazi vijavyo.”

Lakini swali ni, nini kinachowafanya wananchi wapumbazwe na kuamini kwamba Rais Samia atawasikiliza?

Nini kinawapa dhana kwamba Rais Samia ana tofauti na marais waliopita, kwamba yeye atasikiliza? Isije ikawa tunaishi kwa matumaini ambayo hayajawahi kuwepo tangu mwanzo.
zaidi ya ujuha sidhani kama kuna lingine
 
Huu uzi unaishi. Hongera sana mtoa mada.
 
Back
Top Bottom