Karibu sanaasante
hahaaahahahahah shost wangu hujambo ni moja ya diagnosisi na troubleshooting za kwanza
Ni kweli mkuu,Mungu amewapa majukumu mazito sana!Nawaheshimu sana kina mama kwani wanapitia mengi mpaka kuja kutuleta hapa duniani.
hakika ni vema kumshukuru mungu kwa kila jambo!amina!
Kuna jamaa mmoja Uingereza alifanya majaribio ya uchungu wanaopata wanawake wakati wa kujifungua,hakufika hata nusu ya uchungu akazimika,ukifikiria sana kuhusu mwanamke sidhani kama kuna ambaye anaweza kuwadharau.Nawaheshimu sana kina mama kwani wanapitia mengi mpaka kuja kutuleta hapa duniani.
Kuna jamaa mmoja Uingereza alifanya majaribio ya uchungu wanaopata wanawake wakati wa kujifungua,hakufika hata nusu ya uchungu akazimika,ukifikiria sana kuhusu mwanamke sidhani kama kuna ambaye anaweza kuwadharau.
Kuna jamaa mmoja Uingereza alifanya majaribio ya uchungu wanaopata wanawake wakati wa kujifungua,hakufika hata nusu ya uchungu akazimika,ukifikiria sana kuhusu mwanamke sidhani kama kuna ambaye anaweza kuwadharau.
ubarikiwe mkuu....hizi siku nne tano sio muchezo sometimesNawaheshimu sana kina mama kwani wanapitia mengi mpaka kuja kutuleta hapa duniani.
jaman wanajamvi naomba mnisaidie shemeji yenu amekumbwa na tatizo yaan toka ameanza bleeding mwenzi wa tano amekuwa akivuja damu mara kwa mara yani kila baada ya wk moja anatoka damu nyingi amejaribu kwenda kwa dokta kapewa dawa bt tatizo bado lipo naomba msaada tafadhari suluhu ya hili kwa wataalamu wanao jua plz plz plzjaman wanajamvi naomba mnisaidie shemeji yenu amekumbwa na tatizo yaan toka ameanza bleeding mwenzi wa tano amekuwa akivuja damu mara kwa mara yani kila baada ya wk moja anatoka damu nyingi amejaribu kwenda kwa dokta kapewa dawa bt tatizo bado lipo naomba msaada tafadhari suluhu ya hili kwa wataalamu wanao jua plz plz plz