Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Binafsi kwa mawazo yangu naona ni ubabe wa watawala kwamba utafanya nini, ndani tunakuweka na kesi haisikilizwi mpaka tutakapoamua wenyewe.
Hii dhambi kiukweli itakuja kuwatafuna sana.
Madaraka yasi ondoe roho ya utu.
Mheshimiwa Tundu Lisu kuna watu wengi sana wapo nyuma yake wanamtegemea, hapo utakuta anasomesha mpaka watoto wa ndugu zake achilia mbali watoto wa familia yake
Hapo kuna watu kula yao inamtegemea yeye.
Hapo kuna watu wamemiss kampani yake na hivi alishawahi kuzungumza akipata muda wa ziada huwa anapata kinywaji na marafiki zake kama sehemu ya kuburudika .
Kuna watu wanategemea msaada wake wa kisheria, hivyo kumuweka kizuizini kuna athiri idadi kubwa sana ya watu kuliko kawaida.
Kuna maisha baada ya hapa, kuna maisha ya kaburini na kesho akhera, je wanaomfanyia hivi watajibu nini mbele ya haki?
Madaraka, mali na kila kitu hapa ni vya kupita tu.
Hayati ndugu Ally Hassan Mwinyi alishawahi kuzunguma, "Maisha ya binadamu ni kama hadithi tu basi jitahidi hiyo hadithi iwe nzuri".
Watawala wameshapata wanachokihitaji basi wamuachie au lah kesi isikilizwe kama itathibitika ana makosa sheria itafuata mkondo wake.
Inahuzunisha na kusikitisha sana.