Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Kuna uhuni unafanywa na CAS hapa inasubiriwa tu Yanga ajifunge hapo hasa hapo kwenye Appeal Brief. Kuna mtego tusubiri
Kuna uhuni unafanywa na CAS hapa inasubiriwa tu Yanga ajifunge hapo hasa hapo kwenye Appeal Brief. Kuna mtego tusubiri
SijuiKwani wameambiwa sasa
Sasa kwa akili ya Lissu anaweza kuendesha timu? Heche mwenyewe mwizi tu. Tukiwa SAUT 2006 - 2009 tukampa asimamie timu yetu ya EDUCHE akaiba mpaka hela ya maji ya kunywa ya wachezaji! Sasa ana uwezo wa kusimamia timu? Waache Wana CCM wazisimamie maana wanajitolea sana hata kwa fedha zao!Hizo sintofahamu zote zinatokana na Simba na Yanga kuendeshwa na wanasiasa wa CCM.
Mwisho wa siku kitakachoamuliwa kitaangalia nini kitaifadisha CCM. Hapo maslahi ya CCM ndiyo yatakayozingatiwa.
Cas ni mahakama ya usuluhishi endelea kuvuta subira tuHabari wadau!
Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa wamepanga.
Je, ni kweli jambo hili sssa liko huko CAS kwa ajili ya usuluhishi na maamuzi?
Na kama kweli jambo jilo liko CAS kama tulivyosoma kwenye mitandao na kuona zile nyaraka, hukumu ni lini?
Kama haliko huko CAS, nini kinaendelea kuhusu hatima ya mchezo huo?
Kwa kifupi, nini kinaendelea na nini inaweza kuwa ni madhara ya hukumu hiyo kwa Simba inayoshiriki michuano ya CAF?
Nilikuwa sijui kama na wewe ni kama Lucas MwashambwaSasa kwa akili ya Lissu anaweza kuendesha timu? Heche mwenyewe mwizi tu. Tukiwa SAUT 2006 - 2009 tukampa asimamie timu yetu ya EDUCHE akaiba mpaka hela ya maji ya kunywa ya wachezaji! Sasa ana uwezo wa kusimamia timu? Waache Wana CCM wazisimamie maana wanajitolea sana hata kwa fedha zao!
Dogo... SAUT moja, sio?Sasa kwa akili ya Lissu anaweza kuendesha timu? Heche mwenyewe mwizi tu. Tukiwa SAUT 2006 - 2009 tukampa asimamie timu yetu ya EDUCHE akaiba mpaka hela ya maji ya kunywa ya wachezaji! Sasa ana uwezo wa kusimamia timu? Waache Wana CCM wazisimamie maana wanajitolea sana hata kwa fedha zao!
Ni kweli shauri lipo cas,na bodi ya ligi imeweka wakili mkenya,tff wana mawakili 2 wote wa tanzania,hivi sasa maandalizi ya kusikiliza shauri hilo yanaendeleaHabari wadau!
Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa wamepanga.
Je, ni kweli jambo hili sssa liko huko CAS kwa ajili ya usuluhishi na maamuzi?
Na kama kweli jambo jilo liko CAS kama tulivyosoma kwenye mitandao na kuona zile nyaraka, hukumu ni lini?
Kama haliko huko CAS, nini kinaendelea kuhusu hatima ya mchezo huo?
Kwa kifupi, nini kinaendelea na nini inaweza kuwa ni madhara ya hukumu hiyo kwa Simba inayoshiriki michuano ya CAF?
Simba wahuni kama wahuni wengine tu
Suala lipo CAS, kwa hiyo TFF na Bodi wasilaumiwe tena maana hawawezi kuingilia suala lililopo katika mashtakaJe, ni kweli jambo hili sssa liko huko CAS kwa ajili ya usuluhishi na maamuzi?
Na kama kweli jambo jilo liko CAS kama tulivyosoma kwenye mitandao na kuona zile nyaraka, hukumu ni lini?
Mi sio Dogo lakini!Dogo... SAUT moja, sio?
maandamano ya UKUTA Mechi ilikuwa imeahirishwa na ilichezwa siku ya maandamano huku freeman Mbowe na Nchemba wakiwa wamekaa pamoja na kugonga TANO kila saa.Hizo sintofahamu zote zinatokana na Simba na Yanga kuendeshwa na wanasiasa wa CCM.
Mwisho wa siku kitakachoamuliwa kitaangalia nini kitaifadisha CCM. Hapo maslahi ya CCM ndiyo yatakayozingatiwa.
Andiko Bora kabisa!maandamano ya UKUTA Mechi ilikuwa imeahirishwa na ilichezwa siku ya maandamano huku freeman Mbowe na Nchemba wakiwa wamekaa pamoja na kugonga TANO kila saa.
mechi ya SIMBA na YANGA ilikuwa tarehe 8 siku ambayo LISU alikuwa MLIMANI CITY akihutubia BAWACHA na anayeitwa : (mama) ambaye alikuwa mwanza.
ni siku ambayo NO REFORMS NO ELECTION ingesikika kwa WATANZANIA wote. na anayeitwa mama asingesikika anaongea nini haswa?
mechi ile ili ahirishwa ili kubadilisha na kuhamisha mijadala ya watu. Wasijadili ya LISU Haya leo yanayoitwa UHAINI wajadili SIMBA VS YANGA/
Wote tunakumbuka kauli ya Raisi KARIA akiwa ARUSHA kamba HATUTAKI " MATUNDU LISU"kwenye mpira wetu.
Karia hakuyaongea yale kwa bahati mbaya bali yalikuwa na baraka za chama chake
Ni sawa na yale ya MAKALA. Hakuamka tu asubuhi kwake na kuyasema yale ya M POX na EBOLA yalikuwa na baraka ya chama chake.
chama cha CCM kimeishiwa mbinu na sasa wanategemea DOLA sasa wapo kwenye mpira.
wale wanaoingia na PICHA ZA SAMIA Uwanjani ni kina nani na wanalipwa nini? ulishawahi kuona picha ya mkapa uwanjani japo uwanja alijenga yeye?
Twafa
we ulifuatilia kuishia yanga kupeleka kesi CAS ukatulia unadhani kupeleka kesi CAS ni km unapeleka kesi za ndoa kwa mchungaji au shekheHiyo namba 1 & 2 naomba kujua wapi Yanga waliambiwa wapeleke malalamiko na vielelezo ndani ya siku 10? Nachojua Yanga ndio alipeleka malalamiko CAS kwa maana hiyo aliwasilisha vielelezo vya malalamiko yake. Sasa kwanini yeye ndio apewe siku kumi za kuwasilisha malalamiko?
Naomba kuelekezwa hapo tafadhali
Pengine wewe ndio utakua binadamu wa kwanza katika dunia hii unayefuatilia na kujua kila kitu kinachoendelea. Nikupongeze kwa hilo ndugu mtimilifu. Mimi hata hizo kesi za ndoa wa wachungaji na masheikh sizijui sasa ndugu mkamilifu uniambie zikojewe ulifuatilia kuishia yanga kupeleka kesi CAS ukatulia unadhani kupeleka kesi CAS ni km unapeleka kesi za ndoa kwa mchungaji au shekhe