Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Ni kweli mtakatifu Ritha wa Kashia anasikiliziwa zaidi na Mungu au ni Placebo(matibabu ya kutuliza akili kwa kuidanganya) iliyozuka ghafla kwa Wakatoliki wengi wa bongo?
Screenshot_20241030-230555_X.jpg
Screenshot_20241030-232925_X.jpg
 
Mimi niliambiwa na mtu nikabisha kabla hata sijaanza kuisali usiku nikiwa nimelala nikamuona huyo mama kavaa manguo marefu nilishangaa sana

Asubuh nikaenda kununua vitabu viwili vya novena kimoja mtakatifu Rita kingine mtakatifu Philomena

Ile nafika tu nyumban nikatokewa na kasichana kadogo kazuri kananambia kenyewe Nika mtakatifu Philomena

Niliogopa vibaya


Huyo mtakatifu Philomena ni baraa utakuja kunikumbuka ukibeep ana piga mda huo huo tena hakawii dakika hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom