Na hao wenye dini wanakushangaa na wewe ulivyo mgonjwa wa akili kupenda kutazama mpira,kulewa pombe bar na kufanya yale mengine yaliyo nje ya utaratibu wao wa kidini ambayo yote mvumbuzi wake hakutokana na ukoo wenu wala bara lako la Africa
Sikiza mzee,hii dunia hakuna siku tutafanana kwa kila kitu wewe utaelewa hiki yule ataelewa kile mimi nitaelewa vile alimradi tuna itikadi tofauti tuna uelewa tofauti tunawaza tofauti kila mmoja wetu so relax acha watu wafanye yale wanayoamini as longer as hawajaja kwako kukugongea mlango kukulazimisha ushiriki.