Unajibu kishabikiNa Ujerumani ambayo viwanda vinafungwa kila siku kwa sababu ya kushindwa kujiendesha na yenyewe imepatwa na nini?
Urusi anatumia$3.5bilion kila Mwezi kwa ajili ya vita ya Ukraine wakati huo anaingiza zaidi ya $60 bilion kila Mwezi kutokana na gesi na mafuta bado hujaweka mauzo ya bidhaa za viwandani ,bidhaa za chakula na mbolea,bado makusanyo ya ndani.
Hivi unadhani Urusi inangozwa na watu wenye akili ndogo kama mungu wako jiwe na chawa wake akina msiba?
Putin mwenyewe anajua kitakachomkuta ila wewe mvaa kubaz upo hapa kuteteaNa Ujerumani ambayo viwanda vinafungwa kila siku kwa sababu ya kushindwa kujiendesha na yenyewe imepatwa na nini?
Urusi anatumia$3.5bilion kila Mwezi kwa ajili ya vita ya Ukraine wakati huo anaingiza zaidi ya $60 bilion kila Mwezi kutokana na gesi na mafuta bado hujaweka mauzo ya bidhaa za viwandani ,bidhaa za chakula na mbolea,bado makusanyo ya ndani.
Hivi unadhani Urusi inangozwa na watu wenye akili ndogo kama mungu wako jiwe na chawa wake akina msiba?
Wewe achana na hiyo digrii feki ya madrassat. Russia iingize $60 bill kwa mwezi kisha pesa yake iwe makaratasi hivyo..!! Unafahamu unachoongea lakini.Na Ujerumani ambayo viwanda vinafungwa kila siku kwa sababu ya kushindwa kujiendesha na yenyewe imepatwa na nini?
Urusi anatumia$3.5bilion kila Mwezi kwa ajili ya vita ya Ukraine wakati huo anaingiza zaidi ya $60 bilion kila Mwezi kutokana na gesi na mafuta bado hujaweka mauzo ya bidhaa za viwandani ,bidhaa za chakula na mbolea,bado makusanyo ya ndani.
Hivi unadhani Urusi inangozwa na watu wenye akili ndogo kama mungu wako jiwe na chawa wake akina msiba?
Endelea kukarili mkuuKuna vitu humu vinaongelewa unabaki kujiuliza, JF imefikia low level ya namna hii?
1. Je, uchumi wa nchi unapimwa kwa currency kuwa above/below USD?
2. Vipi kuhusu Japanes Yen? Is it below or above USD?
3. Vipi kuhusu Chinese Yuan? Mnakumbuka Trump akipokuwa analalamika kuhusu Yuan kuwa devalued? Kwamba inakuwa unfair competition?
4. Uchumi wa nchi unapimwa na productivity na sio currency.
Huyu anahisi kila mtu humu ni mjinga kama yeyeWewe achana na hiyo digrii feki ya madrassat. Russia iingize $60 bill kwa mwezi kisha pesa yake iwe makaratasi hivyo..!! Unafahamu unachoongea lakini.
Warabu wa Geita?Ngoja waarabu waje kumtetea
Si ni BukobaKatoma tena mkuu..! 🤣🤣🤣 umewahi kuishi huko ama unapafahamu?
Wa mboziWarabu wa Geita?
Itakuwa ni Geita chiefSi ni Bukoba