dogman360
Senior Member
- Oct 15, 2018
- 144
- 226
- Thread starter
- #21
Unajibu kishabikiNa Ujerumani ambayo viwanda vinafungwa kila siku kwa sababu ya kushindwa kujiendesha na yenyewe imepatwa na nini?
Urusi anatumia$3.5bilion kila Mwezi kwa ajili ya vita ya Ukraine wakati huo anaingiza zaidi ya $60 bilion kila Mwezi kutokana na gesi na mafuta bado hujaweka mauzo ya bidhaa za viwandani ,bidhaa za chakula na mbolea,bado makusanyo ya ndani.
Hivi unadhani Urusi inangozwa na watu wenye akili ndogo kama mungu wako jiwe na chawa wake akina msiba?