Nini kinaendelea kwenye uchumi wa urusi. Tokea hii wiki ianze ruble imeshuka thamani kiasi kwamba benki kuu imezuia ununuzi wa hii currency

Na Ujerumani ambayo viwanda vinafungwa kila siku kwa sababu ya kushindwa kujiendesha na yenyewe imepatwa na nini?
Urusi anatumia$3.5bilion kila Mwezi kwa ajili ya vita ya Ukraine wakati huo anaingiza zaidi ya $60 bilion kila Mwezi kutokana na gesi na mafuta bado hujaweka mauzo ya bidhaa za viwandani ,bidhaa za chakula na mbolea,bado makusanyo ya ndani.

Hivi unadhani Urusi inangozwa na watu wenye akili ndogo kama mungu wako jiwe na chawa wake akina msiba?
Unajibu kishabiki
 
Putin mwenyewe anajua kitakachomkuta ila wewe mvaa kubaz upo hapa kutetea
 
Na Ujerumani ambayo viwanda vinafungwa kila siku kwa sababu ya kushindwa kujiendesha na yenyewe imepatwa na nini?
Urusi anatumia$3.5bilion kila Mwezi kwa ajili ya vita ya Ukraine wakati huo anaingiza zaidi ya $60 bilion kila Mwezi kutokana na gesi na mafuta bado hujaweka mauzo ya bidhaa za viwandani ,bidhaa za chakula na mbolea,bado makusanyo ya ndani.

Hivi unadhani Urusi inangozwa na watu wenye akili ndogo kama mungu wako jiwe na chawa wake akina msiba?
Wewe achana na hiyo digrii feki ya madrassat. Russia iingize $60 bill kwa mwezi kisha pesa yake iwe makaratasi hivyo..!! Unafahamu unachoongea lakini.
 
Hakuna namna inabidi kujifungia ndani kama korea kaskazini; tumia unachozalisha.
 
Kuna vitu humu vinaongelewa unabaki kujiuliza, JF imefikia low level ya namna hii?

1. Je, uchumi wa nchi unapimwa kwa currency kuwa above/below USD?

2. Vipi kuhusu Japanes Yen? Is it below or above USD?

3. Vipi kuhusu Chinese Yuan? Mnakumbuka Trump akipokuwa analalamika kuhusu Yuan kuwa devalued? Kwamba inakuwa unfair competition?

4. Uchumi wa nchi unapimwa na productivity na sio currency.
 
Endelea kukarili mkuu
 
Back
Top Bottom