Nini kinafanya Marekani kuwa imara?

Nini kinafanya Marekani kuwa imara?

Kinachofanya Marekani kuwa imara ni wizi wa kuchapisha makaratasi yake na kuja kubadilishana na rasilimali za sehemu mbalimbali duniani.

Kingine ni ujanjaujanja wa kuvamia mataifa dhaifu na kupora rasilimali kwa nguvu
 
How she makes it possible? tupe maarifa maana umeongea juu juu?
 
Also

20230406_195308.jpg
 
1. Siraha; Anazalisha silaha anauza kwa mazwazwa wapigane. Mazwazwa utawajua mwenyewe. Yenye kazi yake kuchonganisha tu muuane.
2. Ameshawishi UN watumie $ yake kama medium of exchange. Alipofaulu akajiona mfalme. Sasa Urusi imemzoom.
3.IMF ameimiliki. Mikopo yote inatolewa n terms of $ . Hakuna kufurukuta.

Ni mengi nashindwa kueleza maana shemeji yenu anahitaji nimhudumie
 
Kinachofanya Marekani kuwa imara ni wizi wa kuchapisha makaratasi yake na kuja kubadilishana na rasilimali za sehemu mbalimbali duniani.

Kingine ni ujanjaujanja wa kuvamia mataifa dhaifu na kupora rasilimali kwa nguvu
wewe unashindwa wap au Burund ipo mbali?
 
1.Utawala wa sheria,
2. Kuendeshwa kitaasisi zaidi kuliko one man show,
3.kuwa na wageni wahamiaji kutoka sehemu zote za dunia.
4. Kuheshimu haki za umilikaji mali kibinafsi( private property rights)
5. Uhuru mkubwa
Na Nini Siri ya chini kufanikiwa,2nd largest economy in the world after US!Tena China kaibuka miaka ya karibuni!Sababu ni Nini?Nijuze!
 
Na Nini Siri ya chini kufanikiwa,2nd largest economy in the world after US!Tena China kaibuka miaka ya karibuni!Sababu ni Nini?Nijuze!
Chinese cultural revolution, over emphasize on intellectual resources by improving educational system, introduction of market/competitive economy and the likes
 
Chinese cultural revolution, over emphasize on intellectual resources by improving educational system, introduction of market/competitive economy and the likes
Nilitaka huyo mtu ajue sababu za kufanikiwa hazifanani!
 
Anzisha uzi wa China tuchangie huko.PS , China haijaibuka miaka ya karibuni, imekuwepo miaka elfu kadhaa kabla hata taifa la Marekani halijawahi kufikiriwa.
Na Nini Siri ya chini kufanikiwa,2nd largest economy in the world after US!Tena China kaibuka miaka ya karibuni!Sababu ni Nini?Nijuze!
 
Anzisha uzi wa China tuchangie huko.PS , China haijaibuka miaka ya karibuni, imekuwepo miaka elfu kadhaa kabla hata taifa la Marekani halijawahi kufikiriwa.
Fatilia hatua alizochukua China 1978 na kupelekea uchumi wake kuwa hapa ulipo Leo!
Nways nimegusia hilo Ili kuweka sawa kuwa sababu za mafanikio haziwezi kuwa sawa!
Usilazimishe watu tufikiri ndani ya box!
 
Marekani si nchi ni Dunia ya kila Raia kwenda kuishi..

Marekani si ya wamarekani tu, Marekani ni dunia iliyojaa watu wa mataifa yote duniani..

Marekani ukienda kuna mwafrika, mwarabu,mzungu,mchina,mjapan,mkorea, mwarabu,mlatin,Mrusi, Mfilipino n.k

Jeshi la Marekani lina Raia wa nchi mbalimbali na huruhusu raia wa nchi nyingine kujiunga na jeshi lao..

Marekani=Dunia

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kuna mkono Wa Mungu umempa uwezo , duniani hapa lazima awepo kiongozi , Marekani ameiongoza vizur hii dunia kwa kudumisha uhuru, tofaut na wengine walipewa mamlaka wakaishia kuwa wababe akina Napoleon wa ufaransa , akina Hitler wa ujeruman , walidumbukiza Dunia kwenye machafuko wakanyang'anywa
Kwa hiyo marekani sio wababe na hawa kandamizi wala kuvamia nchi zingine na ni watakatifu kabisaaaaa eti na kwenye uhuru mi nakubala maana kule wamepitisha sheria ni ruksa wanaume kupakuana choo wanawake kwa wanawake kusagana si ndio bwasheee...
 
Sheria na sera zao... Demokrasia... uchumi wao... Jeshi lenye nguvu... Utatuzi wa matatizo... Kujitolea mna uvumilivu...
 
Back
Top Bottom