Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachofanya Marekani kuwa imara ni wizi wa kuchapisha makaratasi yake na kuja kubadilishana na rasilimali za sehemu mbalimbali duniani.
Kingine ni ujanjaujanja wa kuvamia mataifa dhaifu na kupora rasilimali kwa nguvu
How she makes it possible? tupe maarifa maana umeongea juu juu?Kinachofanya Marekani kuwa imara ni wizi wa kuchapisha makaratasi yake na kuja kubadilishana na rasilimali za sehemu mbalimbali duniani.
Kingine ni ujanjaujanja wa kuvamia mataifa dhaifu na kupora rasilimali kwa nguvu
Ndipo hapo Mmarekani alipoizidi akili dunia, sasa hivi ndiyo baadhi unaona wanaamka na kuanza kuuziana mafuta kwa sarafu tofauti na dolariKwa nini nchi nyingine hazipachi hivyo makaratasi??
wewe unashindwa wap au Burund ipo mbali?Kinachofanya Marekani kuwa imara ni wizi wa kuchapisha makaratasi yake na kuja kubadilishana na rasilimali za sehemu mbalimbali duniani.
Kingine ni ujanjaujanja wa kuvamia mataifa dhaifu na kupora rasilimali kwa nguvu
Na Nini Siri ya chini kufanikiwa,2nd largest economy in the world after US!Tena China kaibuka miaka ya karibuni!Sababu ni Nini?Nijuze!1.Utawala wa sheria,
2. Kuendeshwa kitaasisi zaidi kuliko one man show,
3.kuwa na wageni wahamiaji kutoka sehemu zote za dunia.
4. Kuheshimu haki za umilikaji mali kibinafsi( private property rights)
5. Uhuru mkubwa
Chinese cultural revolution, over emphasize on intellectual resources by improving educational system, introduction of market/competitive economy and the likesNa Nini Siri ya chini kufanikiwa,2nd largest economy in the world after US!Tena China kaibuka miaka ya karibuni!Sababu ni Nini?Nijuze!
Nilitaka huyo mtu ajue sababu za kufanikiwa hazifanani!Chinese cultural revolution, over emphasize on intellectual resources by improving educational system, introduction of market/competitive economy and the likes
Sababu haziwezi kufanana umeongea ukweli kutokana na sababu mbalimbali kama Historia, mila na desturi ya jamii husika, mambo ya itikadi kama ujamaa na ubeberu.Nilitaka huyo mtu ajue sababu za kufanikiwa hazifanani!
Na Nini Siri ya chini kufanikiwa,2nd largest economy in the world after US!Tena China kaibuka miaka ya karibuni!Sababu ni Nini?Nijuze!
Fatilia hatua alizochukua China 1978 na kupelekea uchumi wake kuwa hapa ulipo Leo!Anzisha uzi wa China tuchangie huko.PS , China haijaibuka miaka ya karibuni, imekuwepo miaka elfu kadhaa kabla hata taifa la Marekani halijawahi kufikiriwa.
Kwa hiyo marekani sio wababe na hawa kandamizi wala kuvamia nchi zingine na ni watakatifu kabisaaaaa eti na kwenye uhuru mi nakubala maana kule wamepitisha sheria ni ruksa wanaume kupakuana choo wanawake kwa wanawake kusagana si ndio bwasheee...Kuna mkono Wa Mungu umempa uwezo , duniani hapa lazima awepo kiongozi , Marekani ameiongoza vizur hii dunia kwa kudumisha uhuru, tofaut na wengine walipewa mamlaka wakaishia kuwa wababe akina Napoleon wa ufaransa , akina Hitler wa ujeruman , walidumbukiza Dunia kwenye machafuko wakanyang'anywa