Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
Ulazima wake na mitindo yake vinahamasishwa na tamaduni za unapoishi. Hata waislamu wenyewe hutofautiana namna za kuvaa.Kwa nini ni uarabu?
Kutofautiana kivipi?Ulazima wake na mitindo yake vinahamasishwa na tamaduni za unapoishi. Hata waislamu wenyewe hutofautiana namna za kuvaa.
Na ushoga unakua kwa kasi mno.....ni rahisi kumgeuza mkristo tena anaesali kila jumapili kuwa muislamu ila ni jambo gumu mno kumgeuza hata muislamu ambae hata mlango wa msikiti haujui kuwa mkristo
Kuna mitindo kama hijab, burka, niqab...Kutofautiana kivipi?
Sasa hivyo vyote si hijab?Kuna mitindo kama hijab, burka, niqab...
Kwa Tanzania waislam wako Dar na mikoa ya pwani, mikoani waislam ni wachache sana wa kutafutaKihistoria uislam umeendelea kuwa na nguvu wakati wote.
Barani Ulaya hata Asia na Afrika Uislamu haukuwepo hapo Awali, lakini Kasi ya ueneaji wake inatisha.
Mfano
1. Jerusalem( Israel)
2. Constantinople( Istanbul)
3. Alexandria( Egypt)
4. Antiokia( Syria)
Haya ni maeneo ambayo yalikuwa dominated na Ukristo kwa Karne zote na Historia ya Binadamu.
Lakini maeneo Yote hayo Ukristo unafutika kwa Kasi ya ajabu na Uislam umeshamiri.
Ukijja Tanzania, japo serikali haitaki Ku reveal data kwa Hofu ya kuleta mgawanyiko lakini Ukweli ni Kuwa Waislam ni wengi kuliko Wakristo.
Tazama Population ya Mikoa yenye Waislam Dominantly ni mingi na Iiyobaki ni 50/50 distribution
Sio viongozi mkuu, mabinti na wanawake wa kawaida tu kitaa wana mishe zao zisizohusiana na serikali kabisa.Kama unaongelea hawa viongozi wa awamu ya sita. Kila mtu anavaa ushungi ili aendelee kupiga mpunga.
Wanajua kwenda na biti, kuanzia katibu wa Chama, yule mama mshauri wa masuala ya jinsia ikulu na waziri wa jinsia wote hao ni wagalatia ila ni mwendo wa kuvaa ushungi.
Awamu ijayo watavaa batiki na mapigo ya kimakonde.
Unatoka kwa naniHautoki kwa watu
Kwa AllahUnatoka kwa nani
Nakubali waislamu ni wengi Tanzania kwasababu hata huko kaskzini watu wanasilimishwa balaaKihistoria uislam umeendelea kuwa na nguvu wakati wote.
Barani Ulaya hata Asia na Afrika Uislamu haukuwepo hapo Awali, lakini Kasi ya ueneaji wake inatisha.
Mfano
1. Jerusalem( Israel)
2. Constantinople( Istanbul)
3. Alexandria( Egypt)
4. Antiokia( Syria)
Haya ni maeneo ambayo yalikuwa dominated na Ukristo kwa Karne zote na Historia ya Binadamu.
Lakini maeneo Yote hayo Ukristo unafutika kwa Kasi ya ajabu na Uislam umeshamiri.
Ukijja Tanzania, japo serikali haitaki Ku reveal data kwa Hofu ya kuleta mgawanyiko lakini Ukweli ni Kuwa Waislam ni wengi kuliko Wakristo.
Tazama Population ya Mikoa yenye Waislam Dominantly ni mingi na Iiyobaki ni 50/50 distribution
Wewe ni Galatia acha kuPretendOga, hiyo Dini imejengwa kwa manipulation.. around 2014 na kurudi uko nyuma..nimekuwa muslim.. ibada yangu ya mwisho kwa masjid nime pray kwa masjid ya katoro(Msimkiti wa Katoro) by that time nimekuwa nikisali kwa hiyo Masjid.jina La sheikh wa hiyo Masjidi , ninamkumbuma hata Jina(Anaitwa Ahmad) Mke wake anauza Ndizi gengeni.. wakati ninasali kwa hiyo Masjidi walikuwa na CHANGIZO ya kuchangisha ujinze wa Masjid.. wakati wa changizp hiyo inaanza,ninakumbuka nilikuwa na Elfu Tano Tu Mfukoni,nilitoa Elfu Nne nikabaki na Buku Tu.. kwa Ahadi ya kuleta iliyobakia.
Aftermath
: Nimesoma Vitabu,nimesikiliza Debate nikagundua uislam ni Changa la Macho. Ni Hekheri Uwe Jambazi kuliko kuwa Muislam.
Mikoa yote hadi bukobaNakubali waislamu ni wengi Tanzania kwasababu hata huko kaskzini watu wanasilimishwa balaa
Ushungi alivaa hata bikira MariaKuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
Kumbe Allah ana utamaduni?Kwa Allah
Sasa inatokana na niniMikoa yote hadi bukoba