Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Mwanamke umri ukienda anaweza kuolewa hata na mchina ili apate hifadhi ila dini huwa haibadilishwi mtu akishaiishi muda mrefu kuibadili inakuwa kama kubadili ngozi.Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
So hao wasikustue hata kwa mwamposa pale wamejaa wavaa mashungi kibao wanasali na kuombewa.