Nini kinafanya Uislamu kuzidi kuwa na ushwawishi na kushamiri Tanganyika?

Ukizijua sababu hasa za wao kubadili hizo dini kutoka hii kwenda ile ile kuja hii utagundua wengi wanafata mkumbo wa ndoa.

Mimi ni Mkristo but huwa sifurahii mtu kuhamia dini kwa sababu ya viuno au kufuata ndoa kisa alikokuwa amekosa wa kufanana nae au umri ulikuwa umeenda mtu aingie dini kwa sababu amesoma akaelewa hao wa kufata mke au mume wanaongeza wingi usiokuwa na maana tu.
 
Eti dhana....tuje kiuhalisia thibitisha Yesu ni Mungu kwa maandiko
Naupenda ukristu, nauheshimu uislamu kama dini na huwa najifunza kuuhusu.

Kwa hiyo napenda mtu ambaye nitajadiliana nae awe open minded kama mimi. Since huwa hujibu ninachokueleza ila huwa unaweka maswali yale unayoona yanafaa, bhasi huo ni ubishani na si majadiliano. Kitu ambacho mimi sifanyi

Wiki njema kwako mkuu
 
Kiufupi hata ulichokiandika hakieleweki kiuhalisia ni ngumu mno kueleza kuhusu uungu wa Yesu kwa mtu mwenye akili timamu akakuelewa kwasababu hata mwenyewe Yesu hakuna aliposema yeye ni Mungu....kuna maswali japo ya kawaida ila yanakosa majibu ambayo ni kama Yesu ni Mungu mbona aliiona njaa? Na kama yeye ni Mungu mbona alikuwa anasali akimuomba nani?
Wewe ndiyo umesema siyo muislamu bali mkristo?
Sio kweli
Ni,mkristo gani anatetea uislamu?
huwa wanaamini wakristo wamepotea sasa iweje umkaribishe aliepotea?
Khee kwahiyo ndugu mkristo unasali dhehebu ambalo umepotea? Jf bhana
Hata sio hivyo ila kiukweli Kuna mafundisho Tata sana mfano unapoambiwa Yesu ni Mungu kiukweli ni ngumu kunaeleweka kwa mwenye akili timamu
Ndugu mkristo kwenye 1 na 2.

Kwahiyo wewe n mkristo unayepinga U,ungu wa Yesu ikiwa wenzako wana ukubali?

Wewe ni mtupu kichwani aisee mimi sio muislamu ila ukweli ni kwamba uislamu unakua kwakasi mno hata ukiangalia huku kusini niliko hali inatisha mno
Nimeambatanisha risiti yako hapo juu ndugu mkristo!
Mkiwa mnaleta hoja zenu kuweni upande wenu,siyo ku side upande ambao haupo kusudi kuwwzesha upande wako.
Nakala chini.
 
Attachments

  • Screenshot_20260628_224844.jpg
    Screenshot_20260628_224844.jpg
    157 KB · Views: 10
Naupenda ukristu, nauheshimu uislamu kama dini na huwa najifunza kuuhusu.

Kwa hiyo napenda mtu ambaye nitajadiliana nae awe open minded kama mimi. Since huwa hujibu ninachokueleza ila huwa unaweka maswali yale unayoona yanafaa, bhasi huo ni ubishani na si majadiliano. Kitu ambacho mimi sifanyi

Wiki njema kwako mkuu
Anakuchosha huyo mkuu, nimeweka risiti zake juu hapo
 
Naupenda ukristu, nauheshimu uislamu kama dini na huwa najifunza kuuhusu.

Kwa hiyo napenda mtu ambaye nitajadiliana nae awe open minded kama mimi. Since huwa hujibu ninachokueleza ila huwa unaweka maswali yale unayoona yanafaa, bhasi huo ni ubishani na si majadiliano. Kitu ambacho mimi sifanyi

Wiki njema kwako mkuu
Unajuaje wewe ni open minded? Hata kiswahili bila shaka hauna uelewa nacho sasa nitajibuje kitu ninachoelezwa badala ya ninachoulizwa? Utata mkubwa kwenye ukristo ni pale wanapodai Yesu ni Mungu huwa kunakuwa na hoja za kuunga sana kwa wanaotetea dhana hiyo dhidi ya wale wanaomnukuu Yesu mwenyewe wa kwenye injili ambae kwa kinywa chake anadai alitumwa tu....
 
Wewe ndiyo umesema siyo muislamu bali mkristo?

Ni,mkristo gani anatetea uislamu?

Khee kwahiyo ndugu mkristo unasali dhehebu ambalo umepotea? Jf bhana

Ndugu mkristo kwenye 1 na 2.

Kwahiyo wewe n mkristo unayepinga U,ungu wa Yesu ikiwa wenzako wana ukubali?

Nimeambatanisha risiti yako hapo juu ndugu mkristo!
Mkiwa mnaleta hoja zenu kuweni upande wenu,siyo ku side upande ambao haupo kusudi kuwwzesha upande wako.
Nakala chini.
Mimi ni mkristo nimezaliwa na kubatizwa Anglican ila baadae nikaja kupata komonio ya kwanza Roman catholic na kipaimara pia kiukweli vitu ambavyo nimejaribu kulazimisha ila nikaona ni kufuru ni pamoja na kumuita Yesu ni Mungu...baadae katika harakati nikawa naenda kanisa la Anglican masasi mjini sasa pale napo niliiachana napo baada ya kuletewa mwalimu wa kanisa ambae ni mwanamke kama wapo wanaosali humu hilo kanisa wananijua kwasababu nilihoji kuhusu mwanamke kusimama madhabahuni na wakashindwa kunijibu kwa maandiko yaliyonyooka...na mbaya zaidi huyo mwalimu anaishi bila ndoa na mwanaume muislamu na wamezaa watoto 3 na ni waislamu nilihoji napo kuhusu yeye kuzini napo sikujibiwa...mimi ni mkristo japo nina mapungufu ila najitahidi kuyafuata maandiko yanasema nini...Mwenyezi Mungu ni shahidi wakati nakua kule kwetu kwenye kanisa la katoliki kunakuwa na sikukuu ya kanisa inaitwa kupalizwa kwa bikira Maria inakuwa mwezi wa 8 sasa ilikuwa watu wanapika pombe na wanalewa sana siku ya sikukuu... yaani kanisa linaadhimia kabisa mchango kwa ajili ya pombe nilihoji kuhusu hilo....nikamuuliza katekista hivi unapenda mwanao awe mlevi akajibu hapana sitaki nikamuuliza sasa je wewe ambae ni binadamu hautaki kuwa na mtoto mlevi je Mungu ambae ni mtakatifu atawakubali walevi ? Nashukuru Mungu nilipata waungaji mkono na leo sikukuu inapofanyika hakuna pombe tena....kwahiyo mimi ni mkristo na nitazikwa mkristo
 
Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
Mtu aliyekuja Dar mwaka 1980 akikusikia atakushangaa sana. Makanisa yalikiwa hayazidi 20 mji mzima. Leo idadi ni kubwa sana.
 
Mimi ni mkristo nimezaliwa na kubatizwa Anglican ila baadae nikaja kupata komonio ya kwanza Roman catholic na kipaimara pia kiukweli vitu ambavyo nimejaribu kulazimisha ila nikaona ni kufuru ni pamoja na kumuita Yesu ni Mungu...baadae katika harakati nikawa naenda kanisa la Anglican masasi mjini sasa pale napo niliiachana napo baada ya kuletewa mwalimu wa kanisa ambae ni mwanamke kama wapo wanaosali humu hilo kanisa wananijua kwasababu nilihoji kuhusu mwanamke kusimama madhabahuni na wakashindwa kunijibu kwa maandiko yaliyonyooka...na mbaya zaidi huyo mwalimu anaishi bila ndoa na mwanaume muislamu na wamezaa watoto 3 na ni waislamu nilihoji napo kuhusu yeye kuzini napo sikujibiwa...mimi ni mkristo japo nina mapungufu ila najitahidi kuyafuata maandiko yanasema nini...Mwenyezi Mungu ni shahidi wakati nakua kule kwetu kwenye kanisa la katoliki kunakuwa na sikukuu ya kanisa inaitwa kupalizwa kwa bikira Maria inakuwa mwezi wa 8 sasa ilikuwa watu wanapika pombe na wanalewa sana siku ya sikukuu... yaani kanisa linaadhimia kabisa mchango kwa ajili ya pombe nilihoji kuhusu hilo....nikamuuliza katekista hivi unapenda mwanao awe mlevi akajibu hapana sitaki nikamuuliza sasa je wewe ambae ni binadamu hautaki kuwa na mtoto mlevi je Mungu ambae ni mtakatifu atawakubali walevi ? Nashukuru Mungu nilipata waungaji mkono na leo sikukuu inapofanyika hakuna pombe tena....kwahiyo mimi ni mkristo na nitazikwa mkristo
Hii story ya kutunga. Mkui
Unakuaje mkristo ambaye kwa maelezo yako ni imani iliyopotoka? Kwahiyo upo tayari kuzikwa kwenye imani iliyopotoka?
Je,mtu anaweza bomoa mali yake kwa mikono yake?
Ni mkristo gani unaye hudhihaki ukristo? Na kama unaona ni upotofu kwanini unang'ang'ania?

Yaani unassma imani ya kipagani na potofu afu una praise uislamu kuwa imani safi.
Halafu unasema utakufa na kuzikwa kwenye ukristo?

U cant be seriously, wewe ni muislamu
 
Ukristo hapo mwanzo ulikuwa sawa tu ila mikono ya watu ndio wakaharibu kwa kuingiza vitu vyao na matamanio yao....mfano ukiangalia krismasi ni kitu kisicho na ushahidi wa kimaandiko kama ilivyo ishara ya msalaba tu ni vitu vyakutungwa,kwamtazamo wangu ilitakiwa tuangalie wakristo wa mwanzo wakisalije halafu tufanye kama walivyokifanya wao.........halafu uwe unatumia akili jambo la msingi ni kuamini Yesu alikuja duniani alitumwa na Mungu kama alivyodai yeye mwenyewe sasa hapo nimepinga wapi ukristo?
 
Tii sheria za nchi pamoja na maadili mema ya jamii unamoishi. Yatosha.
 
Ukristo hapo mwanzo ulikuwa sawa tu ila mikono ya watu ndio wakaharibu kwa kuingiza vitu vyao na matamanio yao....mfano ukiangalia krismasi ni kitu kisicho na ushahidi wa kimaandiko kama ilivyo ishara ya msalaba tu ni vitu vyakutungwa,kwamtazamo wangu ilitakiwa tuangalie wakristo wa mwanzo wakisalije halafu tufanye kama walivyokifanya wao.........halafu uwe unatumia akili jambo la msingi ni kuamini Yesu alikuja duniani alitumwa na Mungu kama alivyodai yeye mwenyewe sasa hapo nimepinga wapi ukristo?
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu, “Naja upesi pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo yake. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Itim 6:15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme,

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

102. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu...

John1: 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.

Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.”....

Koran 22:69. Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu...
Math25:32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.

Koran 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, ....
Luke 4:34“Una nini nasi, wewe Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakufahamu wewe ni nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu!”
 
Hakuzaa wala kuzaliwa huyo yesu wako amezaliwa
 
Back
Top Bottom