Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Dini ni ipi?Uislamu sio dini. Ni tamaduni za waarabu. Zinduka
Dini ni ipi?Uislamu sio dini. Ni tamaduni za waarabu. Zinduka
Hauwezi kuwa na akili timamu ukiamini fairy tales iwe za Kigalatia, za Kikobazi au nyingine zozote.Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
Tulikua na dini zetu kabla ya hao wazungu na waarabu hawajaja kutuvuruga akili na kutuamisha kwamba dini zao ndo dini kweli. Na Mungu au Ala wanamchora ni mweupe kama wao. ZindukeniDini ni ipi?
Hata sio hivyo ila kiukweli Kuna mafundisho Tata sana mfano unapoambiwa Yesu ni Mungu kiukweli ni ngumu kunaeleweka kwa mwenye akili timamuHuyo kapata mchumba muislam
Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
Hiyo ndio hoja yako, its not based on research, ni hisia tu baada ya kuwaona wawili watatu wamekuwa converted Muslims, nani nakuambia nimeona wawili watatu wamekuwa Christmas, hiyo haimaanishi waislam na uislam unakuwa popular based on your observations.Hii sio hoja mkuu, Mimi nazungumzia nilichokiona.
unakuta mushi anaitwa abdallah, ramadhani, mohamed, juma, manka anaitwa hidaya, nusra, hadijaNakubali waislamu ni wengi Tanzania kwasababu hata huko kaskzini watu wanasilimishwa balaa
kwa hiyo allah ndiyo mungu? Naona unatapatapa tu hujui lolote, unafuata mkumbo tuHata sio hivyo ila kiukweli Kuna mafundisho Tata sana mfano unapoambiwa Yesu ni Mungu kiukweli ni ngumu kunaeleweka kwa mwenye akili timamu
Wakristo wakiarabu huwa wanamwitaje Mungu,?kwa hiyo allah ndiyo mungu? Naona unatapatapa tu hujui lolote, unafuata mkumbo tu
Allah alichorwa wapi?Tulikua na dini zetu kabla ya hao wazungu na waarabu hawajaja kutuvuruga akili na kutuamisha kwamba dini zao ndo dini kweli. Na Mungu au Ala wanamchora ni mweupe kama wao. Zindukeni
Kwa nini asisilimu muda huo huo hadi awe mkubwa ?..Nikweli unachosema ila hakina nguvu kubwa kivile...nina mtoto wa dada yangu ni binti anasoma form three ndio tunapiga story akauliza hivi Yesu ni Mungu ? Nakama aliteswa kwa ajili ya dhambi zetu inamaana sisi hatuna dhambi?kiukweli kuhusu Yesu kuwa Mungu watu walishindwa kueleza kwa ufasaha kuhusu uungu huo sasa kauli ya dogo mwishoni alidai Akiwa mkubwa atasilimu
Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
Na ushoga unakua kwa kasi mno.
Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
Kwa kabila lenu mnamuita kwa jina gani Mungu? Siye huku tunamuita Kyala na hili jina lilikuwapo kabla ya ujio wa hao miungu wenu waarabu na wazungu. Hapo ndo ujue. Mungu aliabudiwa Africa kabla ya ujio wa hao mizuka wenu waarabu na wazungu. WDini ni ipi?
Wewe ni mtupu kichwani aisee mimi sio muislamu ila ukweli ni kwamba uislamu unakua kwakasi mno hata ukiangalia huku kusini niliko hali inatisha mnoTatizo kubwa la uislam hauna Data.
Hii ni tofauti na Madhehebu ya Kikristo. Yanaendeshwa kwa mipango na Data.
Kwa Tanzania, Waislam wapo wachache kuliko Wakristo.
Zanzibar yenyewe wakiweka uhuru wa kutangaza Dini, haichukui miaka 20 wakristo wana overtake angalau robo kuelekea nusu ya idadi ya watu.
Nyezo kubwa ya kukua uislam ni kuzaana sana. Jambo ambalo litadhibitiwa na hali ngumu ya maisha.
Nyezo nyingine ni kutumia Dola, serikali hasa kwa nchi zinazotawaliwa na Sharia.
Mimi nina jamaa zangu kadhaa tumeoa familia moja. Kabla ya kuoa walikuwa dini ya kobasi ila kwa sasa wamekuwa wazee wa Msalaba.Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!