kwanini kiongozi?Hao wamefata ndoa tu.
Ni rahisi mwanamke wa kiislamu mwenye watoto 5 kupata ndoa kuliko mwanamke bikra wa kikristo kupata ndoa.
Ndio Uislamu sasaKumbe Allah ana utamaduni?
Nini maana ya utamaduniNdio Uislamu sasa
Total way of lifeNini maana ya utamaduni
Ingekuwa rahisi hivyo wakatholiki wote wangeshakuwa walokole, wasabatho ama waislamu maana hayo makundi yote huwa yana hoja yenye nguvu na kibiblia kama kupinga masanamu na kitimoto. Lakini wakatholiki wakitoka misa wanaunganisha kuagiza mdudu kilo na bia zao, maisha yanaendelea.Na ushoga unakua kwa kasi mno.....ni rahisi kumgeuza mkristo tena anaesali kila jumapili kuwa muislamu ila ni jambo gumu mno kumgeuza hata muislamu ambae hata mlango wa msikiti haujui kuwa mkristo
Mimi mwenyewe nilikuwa nafikiri hivyo ila ni zaidi ya hivyo mkuu, mabinti wa Kitanganyika Wagalatia wengi sana wanaukubali na kuupenda ushungi kwa hiyari yao kabisa!Kama unaongelea hawa viongozi wa awamu ya sita. Kila mtu anavaa ushungi ili aendelee kupiga mpunga.
Wanajua kwenda na biti, kuanzia katibu wa Chama, yule mama mshauri wa masuala ya jinsia ikulu na waziri wa jinsia wote hao ni wagalatia ila ni mwendo wa kuvaa ushungi.
Awamu ijayo watavaa batiki na mapigo ya kimakonde.
ChaiMtoa mada nakuunga mkono kwa 100% huku mwanza maeneo ya Kishiri kuna misikiti karibia 3 yote inajengwa na inasemekana pesa inatoka kwa Joyce Banda
Nikweli unachosema ila hakina nguvu kubwa kivile...nina mtoto wa dada yangu ni binti anasoma form three ndio tunapiga story akauliza hivi Yesu ni Mungu ? Nakama aliteswa kwa ajili ya dhambi zetu inamaana sisi hatuna dhambi?kiukweli kuhusu Yesu kuwa Mungu watu walishindwa kueleza kwa ufasaha kuhusu uungu huo sasa kauli ya dogo mwishoni alidai Akiwa mkubwa atasilimuIngekuwa rahisi hivyo wakatholiki wote wangeshakuwa walokole, wasabatho ama waislamu maana hayo makundi yote huwa yana hoja yenye nguvu na kibiblia kama kupinga masanamu na kitimoto. Lakini wakatholiki wakitoka misa wanaunganisha kuagiza mdudu kilo na bia zao, maisha yanaendelea.
Kingine waislamu wengi wapo hostile kwa ndugu zao wanaobadili dini na hufikia kuwatenga. Ila kwa wakristo wapo wenye tabia hizo ila sio kwa asilimia ya waislamu. Kwa hiyo mtu anaweza kubaki katika uislamu ili kuhofia kutengwa