Nini kinafanya Uislamu kuzidi kuwa na ushwawishi na kushamiri Tanganyika?

Nini kinafanya Uislamu kuzidi kuwa na ushwawishi na kushamiri Tanganyika?

Kwa nini asisilimu muda huo huo hadi awe mkubwa ?..

Kinachomkwamisha kusilimu ni nini ?..

Je, uislamu ni perfect na kama ni perfect kwa nini una dhehebu tofauti zinazoamini falsafa tofauti ?...

Je akienda huko akauliza mbinguni wanaume watapewa mabikira 72 na wao wanawake watapewa nini ?.. Je akikosa majibu na huko atasilimu

Kwanza kukuuliza swali kama hilo na ukashindwa kulijibu ni kwa sababu, kama wewe ni mkristu, bhasi hata wewe huielewi imani yako kwa hiyo umeshindwa kumkuza kiimani. Kwa hiyo kosa ni lako pia lakini kama ni muislamu bhasi alikosea kukuuliza kwa sababu wewe ukiulizwa utatu mtakatifu ni nini. Pengine unaweza usielewe..

Mwisho wa siku mambo ya dini siyajali sana. Yoyote anaachoona mtu kinamfaa bhasi na awe maana maisha ni mafupi sana kuishi kwenye vitu ambavyo havikupi fullfillment
Kiufupi hata ulichokiandika hakieleweki kiuhalisia ni ngumu mno kueleza kuhusu uungu wa Yesu kwa mtu mwenye akili timamu akakuelewa kwasababu hata mwenyewe Yesu hakuna aliposema yeye ni Mungu....kuna maswali japo ya kawaida ila yanakosa majibu ambayo ni kama Yesu ni Mungu mbona aliiona njaa? Na kama yeye ni Mungu mbona alikuwa anasali akimuomba nani?
 
Pemba wanaandamana kupinga kanisa kujengwa, kwanini hawataki kanisa lijengwe kama uislanu unakua kwa kasi.
 
1782641761761.png
 
Eti mtu unatoka kwenye ukristo na kuwa muislam!, ni bora uwe mpagani kuliko kuwa muislam

Uislam ni zaidi ya upagani, kwa sababu kwenye uislam unaunganishwa moja kwa moja na shetani na majini ambayo yalisilimishwa na Muhamad. Muhamad aliwafanya waislam kuwa marafiki wa shetani na majini.
 
Nikweli unachosema ila hakina nguvu kubwa kivile...nina mtoto wa dada yangu ni binti anasoma form three ndio tunapiga story akauliza hivi Yesu ni Mungu ? Nakama aliteswa kwa ajili ya dhambi zetu inamaana sisi hatuna dhambi?kiukweli kuhusu Yesu kuwa Mungu watu walishindwa kueleza kwa ufasaha kuhusu uungu huo sasa kauli ya dogo mwishoni alidai Akiwa mkubwa atasilimu
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu, “Naja upesi pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo yake. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Itim 6:15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme,

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

102. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu...

John1: 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.

Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.”....

Koran 22:69. Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu...
Math25:32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.

Koran 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, ....
Luke 4:34“Una nini nasi, wewe Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakufahamu wewe ni nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu!”
 
Kwa kabila lenu mnamuita kwa jina gani Mungu? Siye huku tunamuita Kyala na hili jina lilikuwapo kabla ya ujio wa hao miungu wenu waarabu na wazungu. Hapo ndo ujue. Mungu aliabudiwa Africa kabla ya ujio wa hao mizuka wenu waarabu na wazungu. W
Huenda walipata hisia kuwa lazima awepo aliyeutengeneza ulimwengu lakini hawakujua ni Yupi hasa
 
Wakristo wakiarabu huwa wanamwitaje Mungu,?
Hawatakiwi wamuite Allah, Allah hana mwana na kasema kwa sababu hana mke

Ila akipewa mke anazaa fresh kabisa na kasema mwenyewe anaweza piga mbupu malaika au ma horis
 
Huenda walipata hisia kuwa lazima awepo aliyeutengeneza ulimwengu lakini hawakujua ni Yupi

Huenda walipata hisia kuwa lazima awepo aliyeutengeneza ulimwengu lakini hawakujua ni Yupi hasa
Hiyo ni mentality ya kufikiri wanaofikiria kwa usahihi ni waarabu na wazungu tu
Na kushusha uwezo wa wa Afrika. Nakuambia hivi, walikua wana abudu Mungu na wakati wa ukame walimuomba na mvua zikanyesha. Na kila kabila walinuita kwa lugha ya kabila husika. Nyie endeleeni kua watumwa wa fikra za waarabu na wazungu
 
Mimi sifuati waarabu wala wazungu
 
Wewe ni mtupu kichwani aisee mimi sio muislamu ila ukweli ni kwamba uislamu unakua kwakasi mno hata ukiangalia huku kusini niliko hali inatisha mno

Niambie waislam wapo wangapi hapa Tanzania?
Na wanatumia njia zipi kuhesabu waumini wao?

Madhehebu ya kikristo kama wakatoliki, wasabato, walutheri, waanglican wore Wana mfumo WA kuhesabu waumini, washirika na waliohudhuria Ibada zao.

Wanawajua kwa idadi, umri, jinsia, KAZI, na makazi.

Niambie waislam wanamfumo UPI wa kujua idadi ya watanzania
 
Kiufupi hata ulichokiandika hakieleweki kiuhalisia ni ngumu mno kueleza kuhusu uungu wa Yesu kwa mtu mwenye akili timamu akakuelewa kwasababu hata mwenyewe Yesu hakuna aliposema yeye ni Mungu....kuna maswali japo ya kawaida ila yanakosa majibu ambayo ni kama Yesu ni Mungu mbona aliiona njaa? Na kama yeye ni Mungu mbona alikuwa anasali akimuomba nani?
Si kwamba hunielewi ila unataka niseme kile unachotaraji kukisikia

Imagine unaulizia uungu wa Yesu akiwa duniani wakati alizaliwa, akakua, akasulubiwa na akafariki.

Je, unaulizia hicho kitu, unaelewa dhana na dhima nzima ya Yesu kuishi duniani ?..

Majibu yapo kwenye biblia na ni wazi huyo mtoto wa form three aliyekuuliza alikosa msingi wa kiimani toka nyumbani kwake na hakuwa curious kujua kitu anbacho majibu yake yanapatikana kwenye imani yake. Haijui imani yake na wewe huijui pia, ni vipofu wawili mliokutana

Kwa hiyo hakuna wa kumuongoza nwenzake
 
Eti dhana....tuje kiuhalisia thibitisha Yesu ni Mungu kwa maandiko
 
Niambie waislam wapo wangapi hapa Tanzania?
Na wanatumia njia zipi kuhesabu waumini wao?

Madhehebu ya kikristo kama wakatoliki, wasabato, walutheri, waanglican wore Wana mfumo WA kuhesabu waumini, washirika na waliohudhuria Ibada zao.

Wanawajua kwa idadi, umri, jinsia, KAZI, na makazi.

Niambie waislam wanamfumo UPI wa kujua idadi ya watanzania
Mimi sipo kwenye watanzania bali mimi nazungumzia maeneo niliyopo Kuna kamji wanaita mnyambe huko kulikuwa 98% ni wakristo hakukuwa na msikiti wala kitu gani ila leo hii Kuna misikiti na inajaaa .....na Kuna kijiji wanaita nambunga ndiko kwao mzee mkuchika kipindi hicho mimi niko mdogo 80% walikuwa wakristo ila Leo hii waislamu wamekimeza kijiji watu wamesilimu balAa ...ukienda vijiji vya masasi watu wanasilimu mno aisee....juzijuzi nina binamu yangu ni mwalimu kasilimu yeye na mkewe
 
Back
Top Bottom