Nini kinakufanya ugeuke nyuma baada ya kupishana na mdada mzuuuuuri?

Wezere Wezere Wezere.
 
Kweli mkuu, ni jambo dogo tu! ila ikiwa tabia unaweza kuwaka tamaa ukaikosa mbingu!
ndiyo maana wanaume wengine wataachwa na kukosa unyakuo kwa kutazama wanawake kwa tamaa maana wao wanaona jambo dogo
 
ndiyo maana wanaume wengine wataachwa na kukosa unyakuo kwa kutazama wanawake kwa tamaa maana wao wanaona jambo dogo
Kwa jamii ya sasa, kila kitu kinapush sex mitandao, mtaani, tamthilia hadi kanisan unakutana na sare za waimbaji zinakuchanganya tena!
 
how comes at twenty ukajua they have fat container behind my friend. U need prayers
Hahahahaaaa kipindi bado niko misri mkuu! , but now YESU amenipokea kama mtoto wake! so, japokuwa historia haiwezi kufutika ya mambo ya nyuma!
 
Hahahahaaaa kipindi bado niko misri mkuu! , but now YESU amenipokea kama mtoto wake! so, japokuwa historia haiwezi kufutika ya mambo ya nyuma!
jana sadaka ulitoa sh ngapi kiongozi
 
Kuhakikisha tako lipo maana nyumba hata ikiwa nzur vip bila choo haina thaman
 
Hiyo kitu ilishanishinda aisee, nahakikisha anavyokujakwa mbele niwe nmeshamwangalia vya kutosha. Kwa kuwa nmeshakutana na shape za aina nying basi kwa mwonekano wa mbele tu namkadiria kichwani na nyuma yupo vipi hivyo najizuia kugeuka hasa nikiwa mtaani
 
Inahitaji moyo mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…