Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuandika bila kufuata kanuni za uandishi/punctuation.kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
je naweza kukukera...?🙄Sijawahi kukereka na lolote
Mtu anayeweza kunikera ni yule ninayempenda, wengine naona wananipigia gitaa nilaleje naweza kukukera...?🙄
kwani mi haunipendi🙄Mtu anayeweza kunikera ni yule ninayempenda, wengine naona wananipigia gitaa nilale
Fungua uzi wako ndio uniulize haya maswalikwani mi haunipendi🙄
Watu kuanza kubebishana kwenye nyuzi za wenzao,
Hawa huufanya uzi kutokua na flow ya kueleweka.
Mtu anayeweza kunikera ni yule ninayempenda, wengine naona wananipigia gitaa nilale
kwani mi haunipendi🙄
aaah tatzo mi sipendi sana kufungua fungua mauzi mengi acha tuenjoy humu humu tu mkuuFungua uzi wako ndio uniulize haya maswali
Uzi wa watu uache!!!
unanikandamiza sana madam
lqzima tuwakere kidogo mkuu👇 Page ya kwanza tuu
au basi acha tu ila nimelia sana 😿😿🥹🥹😭😫