Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Sio wote tunajua kuandika vizuri mkuu tuvumilie tu mfano, mimi nimeanza kwenda shule darasa la tano unadhani nitajua kuandika vizuri?Kuandika bila kufuata kanuni za uandishi/punctuation.
Nashukuru Mungu nimemaliza shule lakini kuandika ni changamoto hasa kiswahili japo najua kuongea vizuri sana.