Nini kinakukera na kukukwaza kutoka miongoni mwa wanachama wa JF?

Nini kinakukera na kukukwaza kutoka miongoni mwa wanachama wa JF?

Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
Vifuatavyo hunikera hapa JF;
1)Komenti ama mada za kidini ama udini.
2)Ukabila.
3)Kuwepo wanachama wa upinde.
4)Kuisifia CCM ama serikali ya awamu ya 6 ya mama kizimkazi.
 
Wewe mtu akikufanyia ubaya nyamaza ili ajione mjanja kumbe ni mpumbavu tu! Ya kwako yanakuendea vizuriiiii🤸
Wapi Deeeeeeeeejjjjjjjjayyyy 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️!

Huu uzi umenikumbusha uzi wa Nichane day ule uzi hadi ulifungwa😊!!


Hebu nikasonge yugali kwanza walai
🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️

Leo ulikodamkiaaa 👍👍👍👍👍👍👍!

Santo sana

Cc Smart911
 
kukereka kupo mtu anatoa hoja au anaumwa mtu majibu anayojibiwa anajam
mm mwenyewe mwaka 2018 humu kuna mtu alipost akajihisi hana hamu na maisha mm nkakoment jiuwe tu aisee sku kadhaa jamaa akajiua kweli 😭 ko nimejifunza kuwa mpole tu utani ntaleta kwenye ujinga kama huu
Huyo alikuwa na matatizo mengine na wala haiwezi kuwa comment yako.
 
bila tag ya mesej tumebebishana ni uongo,,,sema kwenda nje ya mada apo nakubali ila kubebishana😄😄🙌🏾UONGOOOOO,,kwanza saivi tumepoa sieee
Ndio huko huko kuchat sana kila uzi mnapoteza flow bana, huku chit chat ndio kwenyewe muwe mnakuja huku mchatiiii hadi mtoke jasho....ila majukwaa mengine inakua kero
 
Back
Top Bottom